Kenya ina maslahi gani na huyu muuaji?

1academ

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Messages
1,459
Points
2,000
Age
49
1academ

1academ

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2016
1,459 2,000
Endelea kufukunyua utuletee mrejesho wa wapi alipo kwenye mji huu wa Nairobi, ila ingekua kweli unachokisema Kagame angekua ashamtolea, Kagame hupiga hadi kule kwa Wazulu sembuse hapa EAC, kumbuka aliwahi kumbabaisha hata Kikwete mpaka Tanzania yote mkalia sana.
enzi za moi kagame alijaribu kuyagusia kidogo hayo ya kabuga ila yasemekana wazee wa inteligence wakamwambia pia wao wana ushahidi mwingi dhidi yake on alleged war crimes waliofanya watutsi, baada ya mda akatulia.
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,380
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,380 2,000
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,380
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,380 2,000
Nakumbuka Kenya walishawahi kuvunja mahusiano ya kibalozi na Rwanda mwaka 1998 baada ya Kagame kutuma vijana wake hapo Nairobi na wakamuua Seth aliyekua waziri wa zamani wa Mambo ya ndani huko Rwanda.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kenya iliapa kulipa kisasi,ndo kagame akaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sinister

Sinister

Senior Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
197
Points
250
Sinister

Sinister

Senior Member
Joined Feb 18, 2013
197 250
Hayuko Belgium mkuu,Belgium haiwezi kuhifadhi huyo mtu bado yuko Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
We did not buy Lavington house from crime proceeds, Kabuga's wife tell court
By Kamau Muthoni | Friday, Sep 21st 2018 at 00:00

Share this story:

Picture of wanted Rwandese fugitive Felicien Kabuga. [Photo: Courtesy]

Rwandan warlord and fugitive Felicien Kabuga’s wife wants the court to dismiss a case filed by the State 10 years ago seeking to freeze their joint property in Lavington, Nairobi.

Josphine Mukazitoni, in her submissions filed before the Anti-Corruption Court in Nairobi, argued that the Government had no proof that the contested property was acquired through proceeds of crime.In her court papers filed before Justice Hedwig Ong'udi, she also claimed that there is no proof that Kabuga, who has been on the run since the Rwandan genocide, used the rent collected from the house to evade arrest.

Documents seen by The Standard show that the house fetches at least Sh84,000 rent each month.

“The applicant (Attorney General) has not demonstrated that Mr Felicien Kabuga is using the income generated in Kenya to avoid capture and substantially interfere with the prosecution witnesses,” her submissions, filed by Ogeto Otachi advocates, read.

Attaches proof

She continued: “On the contrary, the applicant attaches proof that the funds are actually wired directly to the second respondent’s (Mukazitoni) accounts. Furthermore, there is no proof that the property was unlawfully acquired or relates to any crime.”Justice Muga Apondi froze Kabuga’s assets in the country after the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) sought the Government's help to enable his capture.

A warrant for his arrest was issued on November 26, 1997, but the man has never been captured.

The ICTR, in its request for assistance, noted that Kabuga was using the money collected from the property to evade law enforcement agencies.

The Government in its case claimed that Kabuga had been using the rent collected here to aid his hiding game in Belgium.Ningeomba usome aya ya mwisho kabisa in this article
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,970
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,970 2,000
Kenya iliapa kulipa kisasi,ndo kagame akaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
Akaogopa?how

Mbona hakuna kitu Kenya walimfanya Kagame sasa.

Huyo Kagame anayewaua wapinzani wake huko S/Africa,Mozambique,huku akiwawinda kila siku walioko huko Usa,Uk,Belgium,Sweden,Canada ndio aje atishiwe na wakenya?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,970
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,970 2,000
Kama ni kweli itakua wanamficha kwa sababu ya pesa zake. Maana huyo Kabuga ndo alikua tajiri nambari moja huko Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayupo Kenya huyo alishasepa Kitambo,mpk Usa walishaweka dau la $5mil kwa yoyote atakayefanikisha kukamatwa kwake na hata 5 days ago Marekani imempost tena na dau la kukamatwa kwake liko palepale.

Sasa mtu atafutwe na Marekani then ajifiche Kenya huyo atakua chizi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,380
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,380 2,000
Akaogopa?how

Mbona hakuna kitu Kenya walimfanya Kagame sasa.

Huyo Kagame anayewaua wapinzani wake huko S/Africa,Mozambique,huku akiwawinda kila siku walioko huko Usa,Uk,Belgium,Sweden,Canada ndio aje atishiwe na wakenya?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli wewe unapulizwa,yaani kagame aue mpinzani wake kwenye ardhi ya USA halafu abaki salama hadi leo?
Alifanya hivyo kwa wapumbavu wa South Africa na baadaye Kenya,Kenya ina intelligence ya fitina sana,Kagame angejikuta anapigwa na Tanzania bila kujua kuwa ni fitina ya Kenya,bahati yake aliiangukia kenya ndo waka restore Diplomatic ties.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,380
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,380 2,000
Kama ni kweli itakua wanamficha kwa sababu ya pesa zake. Maana huyo Kabuga ndo alikua tajiri nambari moja huko Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo pesa zake mkuu siyo sababu,kuna siri nzito hapo nyuma ya pazia,tena sana sana atakuwa alikuwa Double agent aki spy Rwanda kwa maslahi ya Kenya na ktk hilo kenya itakuwa ilifaidika sana kwa hiyo hawawezi kamwe kumtupa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,380
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,380 2,000
Hayupo Kenya huyo alishasepa Kitambo,mpk Usa walishaweka dau la $5mil kwa yoyote atakayefanikisha kukamatwa kwake na hata 5 days ago Marekani imempost tena na dau la kukamatwa kwake liko palepale.

Sasa mtu atafutwe na Marekani then ajifiche Kenya huyo atakua chizi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Waliweza kumpata Osama ,mtu hatari na complicated kuliko Kabuga,soma tena mada yangu ujue kwanini Marekani haiwezi kumkamata ilihali ikijua fika alipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,380
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,380 2,000
We did not buy Lavington house from crime proceeds, Kabuga's wife tell court
By Kamau Muthoni | Friday, Sep 21st 2018 at 00:00

Share this story:

Picture of wanted Rwandese fugitive Felicien Kabuga. [Photo: Courtesy]

Rwandan warlord and fugitive Felicien Kabuga’s wife wants the court to dismiss a case filed by the State 10 years ago seeking to freeze their joint property in Lavington, Nairobi.

Josphine Mukazitoni, in her submissions filed before the Anti-Corruption Court in Nairobi, argued that the Government had no proof that the contested property was acquired through proceeds of crime.In her court papers filed before Justice Hedwig Ong'udi, she also claimed that there is no proof that Kabuga, who has been on the run since the Rwandan genocide, used the rent collected from the house to evade arrest.

Documents seen by The Standard show that the house fetches at least Sh84,000 rent each month.

“The applicant (Attorney General) has not demonstrated that Mr Felicien Kabuga is using the income generated in Kenya to avoid capture and substantially interfere with the prosecution witnesses,” her submissions, filed by Ogeto Otachi advocates, read.

Attaches proof

She continued: “On the contrary, the applicant attaches proof that the funds are actually wired directly to the second respondent’s (Mukazitoni) accounts. Furthermore, there is no proof that the property was unlawfully acquired or relates to any crime.”Justice Muga Apondi froze Kabuga’s assets in the country after the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) sought the Government's help to enable his capture.

A warrant for his arrest was issued on November 26, 1997, but the man has never been captured.

The ICTR, in its request for assistance, noted that Kabuga was using the money collected from the property to evade law enforcement agencies.

The Government in its case claimed that Kabuga had been using the rent collected here to aid his hiding game in Belgium.Ningeomba usome aya ya mwisho kabisa in this article
Mkuu ulitarajia serikali ikubali kuwa ni kweli iko naye inamtunza??
Jipe homework upate majibu rahisi tu,kwanini walinzi wake walipotea hadi leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,970
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,970 2,000
Waliweza kumpata Osama ,mtu hatari na complicated kuliko Kabuga,soma tena mada yangu ujue kwanini Marekani haiwezi kumkamata ilihali ikijua fika alipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
So far umeshindwa kuitetea mada uliyo ianzisha.

Hauna strong points.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,380
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,380 2,000
So far umeshindwa kuitetea mada uliyo ianzisha.

Hauna strong points.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Siko hapa kutetea mada,nimeleta habari kama habari zingine,hakuna anayenilipa ili kukufanya wewe uamini nilichoandika,kama huamini basi ,soma mada na upite kimya na siyo kuanza kelele na ligi kama vile umelala ofisi ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,970
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,970 2,000
Hizo pesa zake mkuu siyo sababu,kuna siri nzito hapo nyuma ya pazia,tena sana sana atakuwa alikuwa Double agent aki spy Rwanda kwa maslahi ya Kenya na ktk hilo kenya itakuwa ilifaidika sana kwa hiyo hawawezi kamwe kumtupa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah so muda wote huo ulikua unazunguka kumbe speculation yako ndio hii?

Yaani Kenya aache ku spy al-shabab wanaoishambulia Kenya kila siku au Tz anayoshindana nayo kiuchumi aje a spy Rwanda?hahah so funny aisee.

Unamaanisha inawezekana Spy chief mwenyewe Kagame ameshindwa kujua hilo lkn wewe umejua mkuu?

Angekua huyo bwana ana fanya huo uspy hakuna hata Co. 1 ya ki Kenya inge operate huko Rwanda si KCB wala Equity bank wala Co. yoyote under Kagame' s regime.

Rwanda na Kenya wana share common interest gani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,380
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,380 2,000
Boss, hiyo ni historia watu waliongea sana kuhusu hizi habari miaka karibia kumi iliyopita. Picha yake ilichapishwa sana kwenye magazeti Kenya . Interpol, FBI wote wanamtafuta Felicen Kabuga. Wewe sio wa kwanza.
Kwani mimi namtafuta mkuu? Hii ni habari tu,by the way bado yupo kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,380
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,380 2,000
Huyo jamaa aliwahi kuishi hapo Kenya miaka ya zamani na baadae alikuja kutoweka,alikua anamiliki majengo hapo Nairobi(lavington) akawa anakula rent baadae akaja kushtukiwa akakimbia Kenya na yale majengo yalitaifishwa/freeze na serikali ya Kenya

Sent from my iPhone using JamiiForums
Changa la macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,284,196
Members 493,978
Posts 30,816,893
Top