KIKATIBA NI KWELI CHIEF JUSTICE ANAWEZA KUSHIKILIA HATAMU YA UONGOZI HADI PAPATIKANE MSHINDI.
ILA, UKWELI NI KWAMBA JAJI MKUU HUYU NDIO MMOJA WA WANDANI AU WAPAMBE WA KIBAKI. ANAITWA EVANS GICHERU NA PIA YEYE NI MKIKUYUTENA RAFIKI WA KIBAKI SANA. SHERIA ZA KENYA ZINASEMA JAJI MKUU ANAPASWA ASIWE NA MIAKA ZAIDI YA 75. ILA KIBAKI KAMPATIA KAZI JAJI GICHERU AWE JAJI MKUU MIAKA MIWILI IILIYOPITA EVAN HUYU AKIWA NA MIAKA 78. WAKENYA NA WANASHERIA WALIPIGA KELELE LAKINI KIBAKI KAPENDUSHA USO PANDE MWINGINE NA LIFE IKASONGA MBELE. SITASHANGAA KAMA YEYE PIA YUKO HUKO STATE HOUSE SASA HIVI.
1. VITA VYA WANANCHI WALIOIBIWA KURA ZAO NA KINA KIBAKI
2. THE MAN OF THE MOMENT: BWANA KIVUITU SAMUEL, ECK CHAIRMAN
WAKUU NIMEWEKA ATTACHIMENTI YA LIST IONYESHAYO WABUNGE WOTE WALIOCHAGULIWA NA VYAMA VYAO. IIDAWNLODI NA KUIPITIA HUKU MKIVUTA SUBIRA.
WATU WANSUBILI TU KICC NA INASEMEKANA KIVUITU AMEKATAA HADI SASA KUTANZANGAZA MATOKEO YASIYO HALALI BASI ECK IPO MKUTANONI TU.
WENU,
KENYAN-TANZANIAN
Bado tunaagalia live kutoka kenya. ODM wameshinikiza matokeo ya mwisho yasisomwe. Yes RAILA ndani ya Nyumba(KICC) wamekubali wanatoka kwenye chumba cha kusoma matokeo. Wamewaacha waandishi wa habari wengi ndani. Ok Hapo KICC Wanasoma amtokeo ya majimbo 20 yaliyobaki..then ndio watoe majibu ya Mwisho ya Prez.. Lakini Odinga na wenzie waliingia a kupinga yasiendelee kusomwa. OPPPPP!!!!! TVT wamekata hawaonyeshi tena live wamesema wataunganisha tena kama matokeo yataendelea kusomwa..... Ni kama wakina Odinga wameshajua kuwa wakizubaa matokeo yakisomwa watatemwa kwa hila..ndio maana wameleta fujo na nikama wameweza kusimamisha ....
Duh kweli kazi hii. nimeona BBC news sasa hivi wanaanza kuifuatilia kama kawa. Pengine Kibaki na wenzake wataanza kuona moto hizi nchi zote zimekuwa kimya lakini sasa wameanza kusema tusubiri tuone.
Kenyan - Tanzanian vipi kuhusu Raila na uhusiano wake na USA na UK kama alikuwa ameanza kujiandaa ukoje kama unafahamu, hasa shadow foreign minister kama alikuwa anajishughulisha vyovyote vile? Maana naona hii itakuwa ngoma nzito sana.
ODM WASICHOKEE HAWA WAOGA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI!!!
PUSH ON OUR ODM HEROES! PUSH ON!
SARAKASI INAENDELA SASA !!!!!!!!!!!!!
ALIYEKUWA MBUNGE WA JUJA HUKO CENTRAL AMBAYE NI MKIKUYU PIA ANAONGEA KWA WAKENYA LIVE KWA KTN
ANASEMA KURA ZILIIBIWA NA KIBAKI ALIAPATA 48, 000 HUKO JUJA NA ALISHUHUDIA MWENYEWE NA MACHO MABOXI YAKIINGIZWA NA KURA HARAMU HADI ZIKAFIKA 103, 000 YA KIBAKI
AMESEMA PIA ANAOGOPEA MAISHA YAKE LAKINI AMEONA NCHI INAINGIA TABU YA KIRWANDA NA AMEKUJA KUSEMA UKWELI ULIOFANYIKA
ANAITWA WILLIAM KABOGO NA NI MILIIONAIRE MWENYE HELIKOPTA YAKE NA AMEAPA WIZI WA KURA ULIFANYIKA KWA ENEO BUNGE LAKE!
STIMA IMEPOTEA KICC
SASA CARDINALI JOHN NJUE AMBAYE PIA NI MKIKUYU NA ALISAPOT KIBAKI KWA KAMPEINI ANAONGEAA SASA KWA MEDIA
ANASEMA AMANI KWA WAKENYA WOTE

Mungu aepushe Rwanda nyingine!