Kenya: Chama cha Madaktari chatishia kufanya mgomo nchi nzima, chatoa siku 21 kwa Serikali

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Chama cha Madaktari kimetoa notisi ya siku 21 kwa Serikali baada ya Wanachama 10 kufariki kwa COVID19 katika siku nne zilizopita. Visa 70,245 na vifo 1,269 vimerekodiwa nchini humo

Madaktari wanadai Serikali inawaweka kwenye mazingira hatarishi, wamesema wataendelea kugoma mpaka pale Serikali itakapotimiza mahitaji yao

Chama hicho kimesema kitakuwepo kutoa ushirikiano katika siku hizo 21, na ikishindikana baada ya muda waliotoa watalazimika kuitisha mgomo nchi nzima

Miongoni mwa mambo mengine, wameitaka Serikali kutoa vifaa tiba kwa watumishi wote wa Afya wakiwemo wale wa Hospitali binafsi

=====

Kenya's doctors' union has issued a 21-day strike notice to the government after losing 10 members to the coronavirus in the last four days.

The doctors accuse the government of exposing them to Covid-19. Four doctors died last Friday alone, although it is unclear if they had contact with coronavirus patients.

The union's acting secretary general, Mwachonda Chibanzi, said that they would not call off the strike until all their demands were met.

They want the government to provide standard and adequate protective gear to all healthcare workers in all health facilities, including those working in privately owned hospitals.

They also want the government to provide all healthcare workers with a comprehensive medical cover.

“We will be available for any engagement within those three weeks, failure to which we will have no choice but to rally our members for our nationwide strike,” Mr Mwachonda said.

Health Minister Mutahi Kagwe said that a meeting would be held on Monday to discuss the rise of Covid-19 infections in the country and among healthcare workers.

Kenya has so far confirmed more than 70,200 coronavirus cases and 1,269 deaths.
 
Serikali ya Kenya inabidi ichukue hatua haraka kwa sababu ni wajibu wao kutoa vifaa vya kuwakinga wahudumu wa afya pale wanapotoa huduma katika mazingira hatarishi.

Lakini madaktari nao waache madai ya ajabu kama kuwalazimisha serikali kutoa vifaa kwa madaktari wa hospital binafsi barala yake wangewaambia serikali iwalazimishe wamiliki wa hospital binafsi wawape vifaa watumishi wao.
 
Inaitwa democracy,
It's only in Kenya,SA,Nigeria, Egypt,ghana, utaona,
But dictatorial governments like Tz,rwanda,uganda,ethiopia,burundi,somalia huwezi ona haya mambo.

Boycotts are signs of failed states. It's something to be ashamed of it. Umewahi sikia mgomo Botswana, Namibia, former Libya etc.
 
Boycotts are signs of failed states. It's something to be ashamed of it. Umewahi sikia mgomo Botswana, Namibia, former Libya etc.
Nchi ambayo wafanyakazi wake, kwenye kila sekta, huwa wapo kwenye migomo kwa muda mrefu kila mwaka ni Ufaransa. Hizo nchi ulizozitaja zinaizidi nini Ufaransa kwenye maendeleo au kwenye jambo lolote lile? Watanzania mnafaa mzuru Ufaransa mkafanye 'benchmarking' kuhusu 'Trade Unions' na umuhimu wa vyama vya kutetea maslahi ya wafanyakazi. Sio mnakomalia tu na uoga wenu kwenye chorus ya sisiemu mbere kwa mbere. Wakati walimu, madaktari na manesi wenu hawajaonja hata shilingi moja tu ya nyongeza kwenye mishahara yao kwa miaka zaidi ya sita. Tena mbaya zaidi ni kwamba hawajapandishwa vyeo kwa muda wote huo.
 
Boycotts are signs of failed states. It's something to be ashamed of it. Umewahi sikia mgomo Botswana, Namibia, former Libya etc.
Because there governments si vichwa ngumu,
Salaries huwa reviewed always...
Si kama nchi zingine miaka tano kumi no reviews na watu wamekunja mikia juu ya uwoga
 
Nchi ambayo wafanyakazi wake, kwenye kila sekta, huwa wapo kwenye migomo kwa muda mrefu kila mwaka ni Ufaransa. Hizo nchi ulizozitaja zinaizidi nini Ufaransa kwenye maendeleo au kwenye jambo lolote lile? Watanzania mnafaa mzuru Ufaransa mkafanye 'benchmarking' kuhusu 'Trade Unions' na umuhimu wa vyama vya kutetea maslahi ya wafanyakazi. Sio mnakomalia tu na uoga wenu kwenye chorus ya sisiemu mbere kwa mbere. Wakati walimu, madaktari na manesi wenu hawajaonja hata shilingi moja tu ya nyongeza kwenye mishahara yao kwa miaka zaidi ya sita. Tena mbaya zaidi ni kwamba hawajapandishwa vyeo kwa muda wote huo.

Bro, hivi unajua one of the failed state in western is Ufaranza. Nenda kawaulize waItalia jinsi wanavyo wananga kwenye medani za kimataifa.
 
Because there governments si vichwa ngumu,
Salaries huwa reviewed always...
Si kama nchi zingine miaka tano kumi no reviews na watu wamekunja mikia juu ya uwoga

Kenya hawaja review mishahara yenyu kwa miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom