Kenya: Aota matiti baada ya kutembea na mke wa mtu

GOLDGREEN9

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
351
216
James mkazi wa Kenya ameota matiti baada ya kutembea na mke wa jirani yake.Mke wa mtu sumu!!!
Source: KBC!
 
James mkazi wa Kenya ameota matiti baada ya kutembea na mke wa jirani yake.Mke wa mtu sumu!!!
Source: KBC!
Huyo mwenye mke ana huruma sana! Mimi akigusa tu kwenye lango ndio mwisho wa uume wake. Haitasimama hadi aingie kaburini!
 
Huyo witch doctor aliyefanya mambo si angekuja TZ. Nahisi angepata soko sana. Na adhabu ingeongezeka kidogo, badala ya manyonyo pekee wangemuongezea na makalio.
 
Hayo matiti yako wapi?
KENYAN-MAN-BREASTS-1.png
 
Back
Top Bottom