Hiyo ndo imebaki akilini mwako tu? I can see how poor minded you are, kama demokrasia hatuiwez ni kwanini tuliamua kuwa nayo.
Demokrasia ni pana kuliko unavohitaji iwe, huwez kusema hii ni demokrasia ya afrika, hii ni demokrasia ya ulaya.
Yes, iko na mipaka yake, lakini mnataka hii demokrasia ya afrika iwe inamnufaisha tu mugabe, magufuli, kagame, nkurunzinza nk. Shame
MamarosaMr man Barbarosa au sijui vile unataka uitwe, you are a very LOW IQ and thick individual. Kondoo mtu
Another psychohant idiotNakubaliana na wewe kwa mara ya kwanza.....haya maandamano ya kisiasa hamna siku yatakua ya amani, na sidhani waandalizi wa haya maandamano wana aim yakue ya amani kuna agenda flani wanataka kulazimisha....ukitoa vijana hawana kazi kwenye slums kisha uwamwage kwenye jiji ati wafanye maandamano ya amani ni kutarajia mengi.....madaktari na wauguzi wameandamana mwaka huu wote bila ya fujo,kupora na kukabiliana na polisi.....kama haya maandamano ni lazma basi yatengewe mahali maalum ampapo hawatainterfere na maisha ya watu....ni haki yao kuandamana ila ikumbukwe pia wana biashara wana haki zao.your freedom stops when mine starts
ajabu ni kwamba kila ulichosema hapo ni ukweli...Kenya is indeed EA largest economy...Ngoja waje sasa hivi utasikia, we are capitalist country! East Africa power house! Economic giant! Inferior complex! We speak English better!ππππ
Ajabu wanajisadia kwenye flying toilet na reli za Kibera.
Nimewawahi mkuu. Najua mlikuwa mnajipanga na hizo nondo/ hoja.ajabu ni kwamba kila ulichosema hapo ni ukweli...Kenya is indeed EA largest economy...Tanzania=LDC
Wajiulize kilichotokea Hispania hasa jimbo lileeeDemokrasia ina mipaka hata kwa Muzungu ni hivyo, kwamba kuna vitu wanaruhusu kulingana na uwezo na hali yao, lkn Afrika hatuwezi kuiga hilo!
Angalia mfano maandamano ya Kenya tayari yanaathiri Utalii ambao Wakenya wengi wanautegemea ili waishi, sasa hiyo ni demokrasia au ujinga?
Tuambieni kilicho mleta Tundu Lissu nchini Kenya.Wajiulize kilichotokea Hispania hasa jimbo lileee
Mambo yakuiga nayo shida
Hata wao hawawezi ruhusu ujinga kama huo
Tuambieni kilicho mleta Tundu Lissu nchini Kenya.