Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Toka clouds waanzishe clouds digital ili wawe wanapush vipindi vyao online imekua shida sasa,promo kila mahalipromo at work
Clouds wanajitahidi sana Online bt kiukweli Ea radio wako mbali zaidiToka clouds waanzishe clouds digital ili wawe wanapush vipindi vyao online imekua shida sasa,promo kila mahali
Umempendea nn huyu mamy toka yupo radio 5 nilikuwa naona anamuiga fetty hamna kipya kwakeMamy baby 100% namkubali ila kenedy ngoja ntarudi baadae
Clouds wanajitahidi sana Online bt kiukweli Ea radio wako mbali zaidi
Majungu on Fleek [emoji39][emoji39]Umempendea nn huyu mamy toka yupo radio 5 nilikuwa naona anamuiga fetty hamna kipya kwake
"Truth to be told" EA radio(ipp media) iko powa sana na wamejipanga bt nahisi kuna kitu kinamiss ndio maana wafanyakazi wanakimbia. Kama ningepata nafasi ya kumshauri bwana mengi ningemwambia awape mikataba na pesa nono wafanyakazi wake.Asante kwa kuliona hilo. Hao nili waelewaga wakiwa huko saivi... Hapana
Tatizo ni pesa ya madafu basiNajiulizaga sana, hvi East Africa Radio hawalipi vizuri? Au ukiwa pale majungu mengi? Au meneja vipindi au mkurugenz hana uelewa wa kazi yake? Miaka nenda miaka rudi East Africa radio wanakuwa na watangazaj/dj's wazuri and then huwa hawakai na wanaondoka mfano, Dj Mafuvu, seba (yupo choice fm) George Bantu, Kenedy,Mamy (clouds )
Ah mamy ana sauti flan amazing na anajua kupangilia habari si unaropoka tu kama mchomvuUmempendea nn huyu mamy toka yupo radio 5 nilikuwa naona anamuiga fetty hamna kipya kwake
Ana asili ya kisomali....hapo hata ukamfungie Kempiski jikoni miezi sita ukirudi utamkuta hivyo hivyo.huyo mammy ni mgonjwa au ni msomali
Ana asili ya kisomali....hapo hata ukamfungie Kempiski jikoni miezi sita ukirudi utamkuta hivyo hivyo.
Mimi sijawahi fanya kazi EATV ila nachokifahamu kati ya TV zinazooperate professionally makampuni ya IPP media yanaongoza nadhani shida inaweza kua kwenye mishahara Ipp na kampuni zake wako very professional...Najiulizaga sana, hvi East Africa Radio hawalipi vizuri? Au ukiwa pale majungu mengi? Au meneja vipindi au mkurugenz hana uelewa wa kazi yake? Miaka nenda miaka rudi East Africa radio wanakuwa na watangazaj/dj's wazuri and then huwa hawakai na wanaondoka mfano, Dj Mafuvu, seba (yupo choice fm) George Bantu, Kenedy,Mamy (clouds )
bado dulla na sam misago wakiondoka hawa ni pengo kubwaNajiulizaga sana, hvi East Africa Radio hawalipi vizuri? Au ukiwa pale majungu mengi? Au meneja vipindi au mkurugenz hana uelewa wa kazi yake? Miaka nenda miaka rudi East Africa radio wanakuwa na watangazaj/dj's wazuri and then huwa hawakai na wanaondoka mfano, Dj Mafuvu, seba (yupo choice fm) George Bantu, Kenedy,Mamy (clouds )