Kenani Kihongosi: Tunahitaji upinzani uliokomaa sio wa kushangilia vifo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi , amesema Taifa linahitaji upinzani uliokomaa na wenye kuzingatia maadili ya kisiasa, badala ya siasa za kushangilia misiba na kuhamasisha chuki.

Akizungumza kwenye Kikao cha Shina Namba Moja, Singida Mjini leo Januari 19, 2026, Kihongosi amesema haipendezi kuona chama cha siasa au mwanasiasa akishangilia kifo cha mtu, akisisitiza kuwa siasa za namna hiyo hazina tija kwa maendeleo ya nchi.

“Leo mtu anafariki, eti mtu anashangilia halafu hicho ni chama cha siasa. Tunahitaji upinzani uliokomaa. Ndiyo maana Chama cha Mapinduzi tutaendelea kuwalea hawa watu tutawalea Chadema wakue, CUF wakue, ACT wakue, hawa wote ni watoto wetu, tunawalea bado,” amesema.
 
Mjinga huyo, chama ni vikao sio mitandaoni. Ni chama kipi kimekaa kikao na kutoka na azimio watu washangilie vifo? Yeye asema ccm wataendelea kukalia kimya utekaji huku wakipora chaguzi na kufanya mauaji hadi lini? Asitake kujifanya hajui ni wapi chuki ya watu inatokea. Kama anajiamini akae kwenye mdahalo na chama cha kweli cha upinzani apewe ukweli wake. Mpuuzi huyo aendelee kuhutubia wenye muda wa kusikiliza uchafu wake.
 
Vinakomaa wakati wanashinda màhakamani miaka 2 sasa, huko mtaani bunduki zimejaa kuwazuia.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi , amesema Taifa linahitaji upinzani uliokomaa na wenye kuzingatia maadili ya kisiasa, badala ya siasa za kushangilia misiba na kuhamasisha chuki.

Akizungumza kwenye Kikao cha Shina Namba Moja, Singida Mjini leo Januari 19, 2026, Kihongosi amesema haipendezi kuona chama cha siasa au mwanasiasa akishangilia kifo cha mtu, akisisitiza kuwa siasa za namna hiyo hazina tija kwa maendeleo ya nchi.

“Leo mtu anafariki, eti mtu anashangilia halafu hicho ni chama cha siasa. Tunahitaji upinzani uliokomaa. Ndiyo maana Chama cha Mapinduzi tutaendelea kuwalea hawa watu tutawalea Chadema wakue, CUF wakue, ACT wakue, hawa wote ni watoto wetu, tunawalea bado,” amesema.
 
Huyu kibali kapewa na nani cha kuzurura huku watu hawaitambui serikali.?

Colonel Agustino...wameshaanza kuzagaa huku.
 
Huyu naye eti kiongozi, hawezi ata tathmini chama chake. Ajiulize je tabia hii ilikuwepo huko nyuma? kama imeanza sasa unadhani tufanye nini? Nawambia CCM walisubiri baadhi ya watu wasahahu yaliopita ndo waanze kejeli zao.
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi , amesema Taifa linahitaji upinzani uliokomaa na wenye kuzingatia maadili ya kisiasa, badala ya siasa za kushangilia misiba na kuhamasisha chuki.

Akizungumza kwenye Kikao cha Shina Namba Moja, Singida Mjini leo Januari 19, 2026, Kihongosi amesema haipendezi kuona chama cha siasa au mwanasiasa akishangilia kifo cha mtu, akisisitiza kuwa siasa za namna hiyo hazina tija kwa maendeleo ya nchi.

“Leo mtu anafariki, eti mtu anashangilia halafu hicho ni chama cha siasa. Tunahitaji upinzani uliokomaa. Ndiyo maana Chama cha Mapinduzi tutaendelea kuwalea hawa watu tutawalea Chadema wakue, CUF wakue, ACT wakue, hawa wote ni watoto wetu, tunawalea bado,” amesema.
Hiki kijamaa kina mipasho kama bi chura. I guess mfumo ulishadukuliwa
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi , amesema Taifa linahitaji upinzani uliokomaa na wenye kuzingatia maadili ya kisiasa, badala ya siasa za kushangilia misiba na kuhamasisha chuki.

Akizungumza kwenye Kikao cha Shina Namba Moja, Singida Mjini leo Januari 19, 2026, Kihongosi amesema haipendezi kuona chama cha siasa au mwanasiasa akishangilia kifo cha mtu, akisisitiza kuwa siasa za namna hiyo hazina tija kwa maendeleo ya nchi.

“Leo mtu anafariki, eti mtu anashangilia halafu hicho ni chama cha siasa. Tunahitaji upinzani uliokomaa. Ndiyo maana Chama cha Mapinduzi tutaendelea kuwalea hawa watu tutawalea Chadema wakue, CUF wakue, ACT wakue, hawa wote ni watoto wetu, tunawalea bado,” amesema.
Hiki kijamaa kina mipasho kama bi chura. I guess mfumo ulishadukuliwa
 
Mjinga huyo, chama ni vikao sio mitandaoni. Ni chama kipi kimekaa kikao na kutoka na azimio watu washangilie vifo? Yeye asema ccm wataendelea kukalia kimya utekaji huku wakipora chaguzi na kufanya mauaji hadi lini? Asitake kujifanya hajui ni wapi chuki ya watu inatokea. Kama anajiamini akae kwenye mdahalo na chama cha kweli cha upinzani apewe ukweli wake. Mpuuzi huyo aendelee kuhutubia wenye muda wa kusikiliza uchafu wake.
Hakuna ushahidi wa chama kushangilia vifo ila ushahidi wa chama kikishirikiana na serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kuua, kufira, kuteka, kuiba, kuhujumu uchumi na kudhulimu watu huo ushahidi ndiyo upon na hautii shaka hata kidogo na sasa wame-advance wanafanya mauaji ya halaiki(massacre) na kuzika kwenye makaburi ya halaiki(mass graves). Hicho chama ni CCM.
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi , amesema Taifa linahitaji upinzani uliokomaa na wenye kuzingatia maadili ya kisiasa, badala ya siasa za kuhamasisha chuki.

Tunahitaji upinzani uliokomaa. Ndiyo maana Chama cha Mapinduzi tutaendelea kuwalea hawa watu tutawalea Chadema wakue, CUF wakue, ACT wakue, hawa wote ni watoto wetu, tunawalea bado,” amesema.
Naunga mkono hoja PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
P
 
Msemaji wa chama KIBAKA wa kura na mauaji ya halaiki 29th October asipewe kabisa airtime za JF.
 
Back
Top Bottom