Kenani Kihongosi ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo akichukua nafasi ya Amos Makalla

Kenani Kihongosi ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo akichukua nafasi ya Amos Makalla

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imemteua Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho kuanzia Agosti 23, 2025.

Uteuzi huo umetangazwa baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika jijini Dodoma, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan.

Tuna tatizo mahali. Watu wanatolewa kwenye utumishi Kila mara. Kuna mahali tunatakiwa tuwe na mtu mmoja kwa muda. Hapo ndipo tutajua uwezo wa mtu. Mfano Nchemba amehudu pale kwa muda. Ni rahisi kujua kama anaweza au hawezi au mtu kama Mtaka. Huwezi mzungusha mtu Kila ndani ya miezi mitatu. Ufanisi wake hutauona.
 
Huyo Kenan kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ilikuwa siyo mkoa ulipoa sana.
 
Mmh! Sukuma gang baada ya kugundulika wana mawenge ya Magufuli, sasa watalimia meno. Mawimbi ya Polepole yanawakaanga.

Jiungeni na no reforms no election campaign
 
Back
Top Bottom