Wakuu nilipeleka mgonjwa pale kituo cha afya UDSM-Main Campus. Tukiwa pale Kama masaa MAWILI mfululizo. Panapigwa muziki kwa kelele zote. Najiuliza wanafunzi na wagonjwa wanawezaje kuhimili Yale makelele?
Serikali ya mtaa, Chukueni hatua
Mnamaanisha kelele za muziki wa department ya Physical Studies pale chini ya DARUSO bar ama makelele ya kanisa la pale UDSM. Vumilieni ibada za makafiri hizo. Bila makelele ibada zao hazikamiliki