be unique
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,381
- 2,282
Najua ni kipindi cha majonzi katika taifa,ila hali ya hewa pia ni chamgamoto sana hasa kwa sisi vijana damu bado inachemka.
Navyoandika uzi huu nina kama dk 10 tangu tukio hili litokee hapa sina hamu tena na sijui kesho nawaangalia vipi majirani zangu.
baada ya kutoka kwenye mizunguko yangu leo nimerudi na kimwana mmoja ambaye tumejuana siku za usoni,nilimwomba mchezo basi leo bila shida ndio kaja kunibarikia tunda,ikumbukwe sijawai kukutana nae kwenye 6×6 ni siku ya kwanza leo.
Basi tumeingia mpaka ndani tumekula,sasa ikafikia wakati wa mchezo,basi mchezo unaendelea hku tukisindikizwa na mziki laini kabisa.
Tukio linaanza pale kimwana huyu anapoanza kelel zake kama nabaka jamani khaa,basi ni kelele mwanzo mwisho,na mimi tena ikabidi nipotezee maana na kiubaridi hiki akili nayo imehama nikaona acha mchezo uendelee na kelele hizi.
Kumbe majirani bhana wana enjoy mchezo mzima,hapo mimi akili hiyo haipo,kumbe nao wamechoshwa sasa na kelele,mara nikasikia kelele kwa nje na mimi ikabidk niache mchzo hili kelele zikate nisikie nje kuna nini.
Basi majirani huko wamefura kwa hasira na maneno ya kejeli hatari si wanaume wala wanawake mfano wa kelele,(unajifanya unaweza mchezo,kwan ww ndio kidume peke yako humu ndani mbona wengine hatusikii au unabaka?)
Mdada wa pili (au wengine wana vibamia ww peke yako ndio una muhogo ikisindikizwa na vicheko vya umbea.
Hapa sina hamu pozi lote limeisha.