Kelele na mbwembwe walizoingia nazo uwanjani ghafla zikizimika

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
nimeshangaa sana Mara baada ya kuanza kuhutubia ile furaha, mbwembwe na makelele waliyokuwa nayo chali, kifo cha mende

hapa kasi tu
 
Ndo maana niliamua kutohangaika na maandamàno.Hata hivyo si alishasema hakuna maandamano,iweje waende? MALIPO ya kujikomba.Tusipangiane cha kufanya!

Sent from my Mate7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom