Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 445
Wanatuletea misaada ya zana za kulia keki hiyo, tukikwaruzana kidogo tunazitumia zana hizo kupigana, na wakati tupo busy kupigana, waliotupatia zana wanaikata keki hiyo na kusepaInaliwa na wachache; Basi sawa.
Hata waliopata visu hawali... Inaliwa na wengine wakati wenye visu wanauanaWaliofanikiwa kupata visu tu ndio wanaifaidi.