Keki, Mwalimu wa keki anahitajika

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,709
Salaam sana wakuu wa hapa jf,
nahitaji mwalimu wa kufundisha utengenezaji wa keki,
ikiwezekana na namna ya kuipamba keki.
 
hebu panga mwenyewe na tuition fee. kitabu nitakuuzia cha ideas za upambaji kama unataka kuingia commercial, ila ili nibaki na copy nawaza ku-scan kitabu chote na kukubamiza bei,lol
 
hebu panga mwenyewe na tuition fee. kitabu nitakuuzia cha ideas za upambaji kama unataka kuingia commercial, ila ili nibaki na copy nawaza ku-scan kitabu chote na kukubamiza bei,lol

Asante sana King'asti,
Mdogo wako anataka kuingia sokoni,
nitashukuru kwa huo msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…