Keissy alianzisha tena bungeni


wewe ndio msomi unaetegemea wa wadanganyika ? ati TRA wanakusanya znz na kuziacha huko huko hiyo kazi ya kanisa wanamfanyia nani? kwani ZRB wanakazi gani. akili yako na ya kessy haina tofauti
 
Watanganyika ni watu wa hovyo tu ata usiumize kichwa chako angalia kila upande ulowazunguka i mean majirani zao hawafahamiani nao Kenya, Malawi , labda kidogo uganda but Rwanda ..hii mijitu ya bure kabisa huwa tunawaita watwana hawa. pumbav waheed






:A S 112::A S 112::A S 112:



 
Well said kaka
 
Wabunge 83 toka Znz!!! Hawa ndio wanaosababisha korum ya bunge itoshe kumbe hawana lo lote ni watalii tu. Hawa ndio wanaosababisha ndioooooooooo isikike kwani wabunge wengi wa Tanganyika huwa hawahudhurii vikao vya bunge. Kweli iko haja ya wabunge toka Znz wasiwepo wakati wa kujadili mambo ya Tanganyika. Sasa tunagundua kasoro nyingi katika katiba zote, ya zamani, ya Tume na inayojadiliwa. Kessy umetufumbua macho..
 
 
Huyu ndiye mwanaume wa shoka kabisa. Tunaitaka Tanganyika na Zanzibar yenu bakini nayo.
 
...huu mteremko na posho ndo zinawafanya wazanzibar wasalitiane...
 
Katika historia watu Wenye akili sana kama mh. Keise daima walionekana kua hawana akili timamu, na jamii daima iliwakataa na kuwaua lkn baadae ilikuja fahamika kua walikua sahihi na Wenye akili timamu Sana. Mahali aliposemea ni mahali sahihi . Hongera Mh. Kesi..! Historia itakutetea daima -
 
sawa mkuu nimeelewa
 
Maswali yako ni magumu kuyajibu machoni pa watu mkuu.......................Siri hii imefichika na hakuna aliye tayari kuifichua...............!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…