Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,553
Angegawa tu kama Wema, maana DJ alijipatiepo hapo !Alimnyima mzigo mzee wa mataamaa nini?
Angegawa tu kama Wema, maana DJ alijipatiepo hapo !Alimnyima mzigo mzee wa mataamaa nini?
Mwenzio Musiba amebakisha wiki tu mitaaniHapa yupo kwenye mkutano wa kutetea haki za mashoga ! Tumbo linashuka kwa 'chips za mabeberu'View attachment 1144839
Musiba ni mwenziwe Lissu ? Hayaiyaa !Mwenzio Musiba amebakisha wiki tu mitaani
Umesahau alichofanya hapo awali akiwa na cheo huko chama cha kijani?Nafasi yake apewe Manara!
Pale mkoani?Umesahau alichofanya hapo awali akiwa na cheo huko chama cha kijani?
Umesahau alichofanya hapo awali akiwa na cheo huko chama cha kijani?
Apewe king wa social network.Nafasi yake apewe Manara!
Simba haihitaji mashabiki kama wewe!Kweni Manara alishawahi kuvaa gwanda la kijani? kama ni hivyo nakoma kuwa shabiki wa Simba kwani ni najisi
Teheteheee, kwelii mkuu.usije ukakuta mvujishaji mkuu wa siri zao ni mwenyekiti wao , maana tabia yake ya kupagawa na hadhira inajulikana wazi.Pole sana dada ila hakunaga siri ya watu 24 wamsamehee tu.
Simba haihitaji mashabiki kama wewe!
DuuuhWamemfanyia ubaguzi wa kingozi kwa kuwa yeye ni albino eeeeeee
Hahahaa...... Le mutuz ndio atatunza siri kweli?..... Si afadhali huyo msemaji wa familia ya MO!Apewe king wa social network.
Manara alikuwa katibu mwenezi wa CCM....... akafanya ufisadi chama kikamtimua akakimbilia Simba UKAWA!Kweni Manara alishawahi kuvaa gwanda la kijani? kama ni hivyo nakoma kuwa shabiki wa Simba kwani ni najisi
hovyoooooo👷👹💩yaani usanii anaupeleka mpaka kwa Chama kikubwa Afrika? pole yake na hapo wengine wajifunze kuwa CCM si mtu ni taasisi imara ya kisiasa.
Tena wamemstahi sana unajua kuvujisha siri za chama au serikali nisawa na uhainiyaani usanii anaupeleka mpaka kwa Chama kikubwa Afrika? pole yake na hapo wengine wajifunze kuwa CCM si mtu ni taasisi imara ya kisiasa.
Hahaha aiseee...wewe utakuwa una kitu na msemaji wa wana msimbazi.Hahahaa...... Le mutuz ndio atatunza siri kweli?..... Si afadhali huyo msemaji wa familia ya MO!
Tumia akili sio unazoza tuu, Zitto alifukuzwa chamani sio ubunge.Mbona Lisu alimkemea sana Zito wakati amemfukuza Zito ubunge wa chadema, Leo amefukuzwa yeye Lisu na Spika
Tena kama in siri za kuteka watu au kuua basi ni hatari sana.Tena wamemstahi sana unajua kuvujisha siri za chama au serikali nisawa na uhaini