Keisha ang’olewa ujumbe Kamati Kuu ya CCM baada ya siku 396

Lemutuz ali post kipindi kile cha Msiba wa Mengi kuwa Keisha katimuliwa ujumbe wa Cc

Aliemvujishia taarifa hizi Lemutuz atakuwa ni mjumbe wa kamati ya Maadili ambayo ni zaid ya Kamati kuu
 
Tena wamemstahi sana unajua kuvujisha siri za chama au serikali nisawa na uhaini
Tena kama in siri za kuteka watu au kuua basi ni hatari sana.
Jamhuri impe ulinzi binadamu Huyu maana watasema anatumiwa na mabeberu
 
Back
Top Bottom