Keisha ang’olewa ujumbe Kamati Kuu ya CCM baada ya siku 396

Hukumbuki wabunge wa CUF waliofukuzwa chama na wakaendelea kuwa wabunge kwa sauti ya spika?
Wabunge gani ?ninachokumbuka Lipumba aliwafukuza uanachama wabunge wa viti maalum wasio muunga mkono ,akateua wengine,baadae wale waliofukuzwa wakaenda mahakamani kufanya pingamizi ,lakini spika akapotezea ,labda tuambie wewe wabunge gani walifukuzwa,usisahau kunitaka radhi kwa kunibagaza pale mwanzo kabisa
 
Back
Top Bottom