DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,486
Huyo dada alipewa hio post kisiasa zaidi ili kuweza kupata attention ya makundi maalumuyaani usanii anaupeleka mpaka kwa Chama kikubwa Afrika? pole yake na hapo wengine wajifunze kuwa CCM si mtu ni taasisi imara ya kisiasa.