Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,617
- 39,974
Mechi ya Namungo Vs Dodoma Jiji ilipaswa kuwa ya mwisho huyu binadamu kuchezesha. Amechezesha zaidi ya Mechi 7 Kwa kiwango kibovu lakini bado Mamlaka zinamfumbia macho. Coastal, KMC, Tabora Utd, Fountain Gate, Mashujaa, JKT na Pamba ni wahanga WA maamuzi mabovu ya Kayombo, lakini bado YUPO!