SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 509
- 1,210
Keeping the circle small is for people who are established. You are missing out on opportunities with your two broke friends.
umetisha mzee
Hii series inaonyesha ni jinsi gani CIA walikuwa wanafanya biashara ya cocaine ili kuwasaidia vyama vya magaidi vya ameika ya kusini ili wazipindue serikali zao za kikomunisti, na bishara ya cocaine ilikuwa inawalenga watu weusi kama wateja na watumiaji ili kuvuruga vizazi vyao,umetisha mzee