Keep your nonsense to yourself

hii wiki ishakua ngumu tayali iishe tu🤣🤣

sema shoga angu unachukulia vitu serious sana ungemkaushia tu kwan kulikua na shida gani jamni?, kikubwa hajakutukana amejaribu kuelezea hisia zake iwe ni utani au serious, sion kama kuna haja ya kukasirika vile asee,, mi sioni kama chai ya rangi anamakosa yoyote walah
 
Acha kunitoa akili nimesema sitaki na maoni yangu yahehimiwe
Tafadhali usione kama sijitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…