Eti Mbolea!!!!!! ha, yani jamaa hautaki kabisa iwe ni KDF inasaidiaNani kakuambia wanashida na madaktari?, shida ni materials kama dawa, vyakula na sehemu za kuishi, hiyo picha hapo juu hakuna ushahidi wowote kwamba Kenya imetoa msaada, huyo chalii anayepokea huo mfuko wa mbolea ana uhusiano gani na serikali ya Msumbiji?, kawaida msaada hukabidhiwa kwa serikali kwanza, wao ndio wanajua wapi wapeleke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuuliza historia ya Tanzania, ........ Alafu kama ulikua hujui,Wanajeshi huongezeka wakati wa vita, Kwa mfano ule wakati wa vita vya Kagera, Wanajeshi wa Uganda waliongezeka hadi 70,000, na wanajeshi wa Tanzania waliongezeka hadi 150,000 ambayo ilikua ni ratio ya 1:2.... Story za vijiweni enda ukazipijie mtaani labda huko ndo hautapata mbishiWewe unaumwa sana, eti Msumbiji walikua na wanajeshi 80,000, kama kawaida yenu, kujifanya wajuaji lakini hamna mnalojua.
Kwa taarifa yako, wanajeshi 80,000 ni sawa na jumla ya wanajeshi wote wa Kenya + Tanzania +Uganda, vipi Frelimo ambayo ilianzishwa Tanzania hawakua na nchi wawe na jeshi kubwa kuliko nchi inayojitawala?.
Samora Moses Machell alikuja Tanzania akiwa na umri wa miaka 12, alisomea Tanzania, baadae alijiunga na vuguvugu la ukombozi wa Msumbiji na wakaanzisha FRELIMO China ya usimamizi wa Nyerere hapa Dar es Salaam, kiongozi wao wa kwanza alikua Mondlande.
Mondlande aliomba usaidizi wa jeshi kwenda kuanzisha vita vya ukombozi, JWTZ lilianza vita huko Msumbiji wakati huo huo likiwafundisha baadhi ya wakimbizi wa Msumbiji waliokua wanajeshi Tanzania, akiwemo Samora Machell, na mke wake wa kwanza kabla ya Grace, katika vita hivi, Museven akiwa Tanzania kama Mkimbizi, alimuomba Nyerere ili akapigane kama askari wa JWTZ ili apate uzoefu, aliruhusiwa ajaenda pamoja na kiongozi wa kwanza wa RPF ya Rwanda pia walishiriki, kwa ufupi, FRELIMO haikuwa na wanajeshi kabisa wakati wa kyanzisha vita, 80% ilikua JWTZ, hivyo hivyo kwa Zimbabwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
bro, tafadhali samehe hiyo nugu. ilidhani KDF nikama ldc militia tpdf- sasa ukimwambia kuwa tpdf cannot sustain a simple operation hawezi kuamini. Very stupid danganyikans.Eti Mbolea!!!!!! ha, yani jamaa hautaki kabisa iwe ni KDF inasaidia
KDF iko na Deprtment inaitwa Kenya Ordinance Factory Coporation ----- ambayo kazi yake ni kutengeneza risasi na spare parts zinazotumika na KDF.... Mbali ha hilo KOFC wako na kiwanda cha Food Procssing na hutengeneza vyakula tofauti vilivyokaushwa..... Kwa mfano nyinyi Tz ambao mmeanza juzi juzi kusaidia hamjui kwamba kukitokea janga kama hilo ambapo watu wamepoteza manyumba na kila kitu ndani, Mkipelleka mahindi mabichi hao mnaojaribu kuwasaidia hawana jiko wala sufuria manake wamepoteza mali yao yote, wanahitaji vyakula ambavyo viko tayari...... Mahindi yenu bado yako store yanangojea watu watafutiwe makaazi mbadala na wapewe vyombo vya kupikia....
Anyway, vyakula vinavyotengenezwa na KOFC vinahitaji tu kuchanganywa na maji moto, na hata kama huna majimoto unaweza kutumia maji baridi
Vyakula hivyo hupakiwa ndani ya mabandari
Wewe leta ushahidi kwamba Kenya ilipeleka msaada Msumbiji, acha kuonyesha picha zisizo na Maelezo yoyote, haiwezikani msaada ukabidhiwe kwa machalii, hao ni vijana wa Turkana. Kama mlitoa misaada, vipi UN hawaitambui Kenya kama nchi iliyotoa misaada?.Eti Mbolea!!!!!! ha, yani jamaa hautaki kabisa iwe ni KDF inasaidia
KDF iko na Deprtment inaitwa Kenya Ordinance Factory Coporation ----- ambayo kazi yake ni kutengeneza risasi na spare parts zinazotumika na KDF.... Mbali ha hilo KOFC wako na kiwanda cha Food Procssing na hutengeneza vyakula tofauti vilivyokaushwa..... Kwa mfano nyinyi Tz ambao mmeanza juzi juzi kusaidia hamjui kwamba kukitokea janga kama hilo ambapo watu wamepoteza manyumba na kila kitu ndani, Mkipelleka mahindi mabichi hao mnaojaribu kuwasaidia hawana jiko wala sufuria manake wamepoteza mali yao yote, wanahitaji vyakula ambavyo viko tayari...... Mahindi yenu bado yako store yanangojea watu watafutiwe makaazi mbadala na wapewe vyombo vya kupikia....
Anyway, vyakula vinavyotengenezwa na KOFC vinahitaji tu kuchanganywa na maji moto, na hata kama huna majimoto unaweza kutumia maji baridi
Vyakula hivyo hupakiwa ndani ya mabandari
Sasa FRELIMO itawezaje kuongeza idadi ya watu wakati haikuwa ndani ya Msumbiji walikuwa Tanzania na mpakani kulikua na vita haikuwa rais kwa vijana kuvuka mpaka, pia FRELIMO haikuwa na vyanzo vya pesa, watawezaje kuwa na jeshi kubwa , wangepata wapi silaha na gharama za kuendesha vita?, FRELIMO ni kama jina, lakini Operations zote za kivita na gharama zilikua chini ya JWTZ.Sijakuuliza historia ya Tanzania, ........ Alafu kama ulikua hujui,Wanajeshi huongezeka wakati wa vita, Kwa mfano ule wakati wa vita vya Kagera, Wanajeshi wa Uganda waliongezeka hadi 70,000, na wanajeshi wa Tanzania waliongezeka hadi 150,000 ambayo ilikua ni ratio ya 1:2.... Story za vijiweni enda ukazipijie mtaani labda huko ndo hautapata mbishi
Wivu utakuua wewe. Huoni hawa walipeleka dakika ya mwisho bila kujianika kama nyinyi? Unadhani kila mtu ni wa kutafuta kiki kama nyinyi?Wewe leta ushahidi kwamba Kenya ilipeleka msaada Msumbiji, acha kuonyesha picha zisizo na Maelezo yoyote, haiwezikani msaada ukabidhiwe kwa machalii, hao ni vijana wa Turkana. Kama mlitoa misaada, vipi UN hawaitambui Kenya kama nchi iliyotoa misaada?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete ushahidi, kama hata madeni yamewashinda kulipa, watu wanakufa njaa, mtapata wapi pesa za kusaidia wengine, hakuna mlichopeleka zaidi ya wauza sura, huyo KIJANA anayekabidhiwa huo mfuko, ni KIJANA wa Turkana, na hapo ni Wilson airport.Wivu utakuua wewe. Huoni hawa walipeleka dakika ya mwisho bila kujianika kama nyinyi? Unadhani kila mtu ni wa kutafuta kiki kama nyinyi?
Kwani msaada ni chakula pekee?..wivu ndio inakumaliza i know you are pained . ata Sijui ka unaelewa maana ya neno msaada...help comes in various forms and ways . KDF has provided tonnes of food, personnel & relevant resources to aid in urban search & rescue, medical staff & drivers .Wewe leta ushahidi kwamba Kenya ilipeleka msaada Msumbiji, acha kuonyesha picha zisizo na Maelezo yoyote, haiwezikani msaada ukabidhiwe kwa machalii, hao ni vijana wa Turkana. Kama mlitoa misaada, vipi UN hawaitambui Kenya kama nchi iliyotoa misaada?.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are just a pained ass what's your point though ?.....unapenda tu kubishana .Lete ushahidi, kama hata madeni yamewashinda kulipa, watu wanakufa njaa, mtapata wapi pesa za kusaidia wengine, hakuna mlichopeleka zaidi ya wauza sura, huyo KIJANA anayekabidhiwa huo mfuko, ni KIJANA wa Turkana, na hapo ni Wilson airport.
Sent using Jamii Forums mobile app
tumeshindwa kulipa madeni vipi? can you ascertain your claims.....wivu ndo inakusumbua.najua punchline yako next itakuwa kenya is a failed state 😂😂Lete ushahidi, kama hata madeni yamewashinda kulipa, watu wanakufa njaa, mtapata wapi pesa za kusaidia wengine, hakuna mlichopeleka zaidi ya wauza sura, huyo KIJANA anayekabidhiwa huo mfuko, ni KIJANA wa Turkana, na hapo ni Wilson airport.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani Thomas hakuacha mbegu. Kumbe!!Lete ushahidi, kama hata madeni yamewashinda kulipa, watu wanakufa njaa, mtapata wapi pesa za kusaidia wengine, hakuna mlichopeleka zaidi ya wauza sura, huyo KIJANA anayekabidhiwa huo mfuko, ni KIJANA wa Turkana, na hapo ni Wilson airport.
Sent using Jamii Forums mobile app
Evidence please of those tonnes of aid, if your people are dying left and right in Turkana and Samburu, where will you get money to donate to other countries, Chinese are donating food and beer, how is it possible for a anemic patient to donate blood while he is in need of the same?Kwani msaada ni chakula pekee?..wivu ndio inakumaliza i know you are pained . ata Sijui ka unaelewa maana ya neno msaada...help comes in various forms and ways . KDF has provided tonnes of food, personnel & relevant resources to aid in urban search & rescue, medical staff & drivers .
povuuuuu....wivu itakumaliza sana...wivuuuuuuEvidence please of those tonnes of aid, if your people are dying left and right in Turkana and Samburu, where will you get money to donate to other countries, Chinese are donating food and beer, how is it possible for a anemic patient to donate blood while he is in need of the same?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete ushahidi, kama hata madeni yamewashinda kulipa, watu wanakufa njaa, mtapata wapi pesa za kusaidia wengine, hakuna mlichopeleka zaidi ya wauza sura, huyo KIJANA anayekabidhiwa huo mfuko, ni KIJANA wa Turkana, na hapo ni Wilson airport.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani Thomas hakuacha mbegu. Kumbe!!
Lete ushahidi, kama hata madeni yamewashinda kulipa, watu wanakufa njaa, mtapata wapi pesa za kusaidia wengine, hakuna mlichopeleka zaidi ya wauza sura, huyo KIJANA anayekabidhiwa huo mfuko, ni KIJANA wa Turkana, na hapo ni Wilson airport.
Sent using Jamii Forums mobile app
Evidence please of those tonnes of aid, if your people are dying left and right in Turkana and Samburu, where will you get money to donate to other countries, Chinese are donating food and beer, how is it possible for a anemic patient to donate blood while he is in need of the same?
Sent using Jamii Forums mobile app
Evidence from independent source like UN please, hii ni propaganda ya Nyang'au.
Uhuru deploys KDF to Mozambique
The government of Kenya has sent humanitarian assistance to Mozambique following the devastating Cyclone Idai storm which left properties destroyed, thousands homeless and hundreds of people dead. The much needed humanitarian assistance was provided through the Kenya Defence Forces (KDF) amid anclubofmozambique.com
Hiki ni kichekesho, hivi mtu mwenye upungufu wa damu anaruhusiwa to donate blood?,