KCMC Computer Lab wametisha sana, wamevizidi vyuo vingi vikongwe

KCMC Computer Lab wametisha sana, wamevizidi vyuo vingi vikongwe

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
CKX0jV8W8AAFtSR.jpgCKbFZ_1UwAAIFZ4.jpgCKbFZzIUMAANIg8.jpg
CKbFck8UkAA4RPZ.jpg
CKbFdh6UkAAexJR.jpg


Pia Kila mwanafunzi anapewa tablet mpyaaaa.

Wamejitahidi sana.
​
 
karibu sana wadogo zangu kozi za afya kcmc ukitaka kufaidi na technologia njoo na medicine yako fresh
 
Hizi ni Terminals tu, zote zimeunganishwa kwenye server. Terminals zina uwezo na bei ndogo kuliko kompyuta za kawaida. Ndo maana kuiba terminals ni kaz bure maana hazifany kaz bila server.
 
Nikilinganisha na kule MUCHS/MUHAS tulikotoka, ilikuwa hadi unamaliza hujui kitabu kinafananaje mwendo wa kusoma 'photocopy' tu.

Anyway, i guess what matters ni end product(wataalamu wenyewe). Isije kuwa ndiyo mwanzo wa kutumia tabs kwa ajili ya groups za ajabu, kupost ----- na chats zisizoeleweka.
On top of that, nina wasiwasi kuhusu suala la patient confidentiality hada picha za wagonjwa n.k (Katika hospitali nilizowahi tembelea electronic device among staff/students zinakuwa controlled from hospitali yenyewe, sasa sijui huku kwetu).
 
Hao jamaa wako vizuri sana kwa sasa, wapo kwenye program ya MEPI ambayo ni taasisi ya USA inayofadhili Vyuo vitano tu hapa Africa, yaani jamaa pia wanapiga baadhi ya mitihani ya written online ya Marekani(USMLE) free japokuwa ni Optional kwa mwanachuo.

Ni kweli kila First year undergraduate student wa Medicine ni lazima apewe New tablet(Apple brand) ikiwa full Internet connection Free muda wote, na ataitumia hiyo mpaka atakapomaliza chuo.
Kifupi KCMC kwa sasa ni miongoni mwa vyuo vya Afya bora zaidi kwa Afrika.

Jamaa kwa sasa wana Best Programme, Proper/Standard Teaching Syllabus, Exchange Programme, International Student wengi sana, Good Practical Hospital(KCMC Hospital) na well International Experience Medical specialitists.

Vyuo vingine viende pia kujifunza pale.
 
hapo hata uvivu wa kutoroka pindii unaondoka yaanii..hongera zaoo
 
Chuo kimeboreshwa ila hali ya hospitali ni mbaya huduma zimeanza kuwa za kimagumashi kama hospitali za serikali,rushwa imekithiri huduma kwa wagonjwa zimedorora ,kwakweli Waganga ambao wapo mafunzoni ndio huokoa jahazi kuliko wale walioajiriwa,Naomba uongozi uache kuweka rehani maisha ya wagonjwa.
 
Ingekuwa hivi vyuo vyote tanzania basi elimu ingekuwa kwa speed kubwa.
 
Back
Top Bottom