KCB inapanga kununua Benki moja Tanzania na nyingine Rwanda

Kushahibiana na hii KCB (T) hii kwa bongo ni another mediocre bank tu kama bank nyingine utopolo za huku bora kidogo hata hao equity kwa huku........TCB mshindani wake akijikwamua sana watakua wakina NMB na CRDB ila sio hako ka kcb
Mpaka umenijibu mara mbili, hehehe sisi tunaingia kwa kichwa
 
Mnaingizwa kama mlivyoingizwa huku mtakuja primary school......unipangie namna ya kujibu na nipo kwangu labda ningekua kwenye lile takataka lenu ktalk
 
Banking industry ya Tanzania ipo nyuma sana ukiilinganisha na ya Kenya.
 
Ukanda wote huu tushatia kapuni, TRA ndio hiyo safi sana.....hamjakoma tu.
 
Banking industry ya Tanzania ipo nyuma sana ukiilinganisha na ya Kenya.
Inatufaa sisi kwani tumekosa nini kwa kua nyuma?na mnafata nini kwa walio nyuma si ndo mngeenda kufungua biashara kwa hao wa mbele zaidi......Tz ni kama maji usipokunywa utayaoga tu blaza
 
Hatuwezi kuyaoga wala kuyanywa. Hapa Kenya ninajua kampuni 2 tu kutoka TZ. Azam TV na ile kampuni inayotengeneza pombe ya Konyagi. Lakini TZ kuna kampuni nyingi sana kutoka Kenya.
 
TRA mmefanya nini la ajabu sasa? Wepesi sana mkibinywa tu kwenye ugali mnawehuka.....tia kapuni bado unaweweseka na ugali

Tanzania Revenue Authority tumeshaingia kichwa kichwa, subiri hapo endelea tena usibanduke maana taasisi nyingi tu.....cheza na manyang'au tutakunyang'au sisi...
 
Uzuri hatuna maroho ya ajabu ajabu nyang'au mnaumizana hata wenyewe kwa wenyewe man eat man society ....mje hata Ikulu ila haibadili kitu huko kwenu bado mnasaga meno....
.hizo za tra wanaozila wanajulikana nyie akina kajamba nani bado mnasugua gaga tu ndo maana mkinyimwa ugali kelele mingi kuliko hata majirani zenu
 
Hatuwezi kuyaoga wala kuyanywa. Hapa Kenya ninajua kampuni 2 tu kutoka TZ. Azam TV na ile kampuni inayotengeneza pombe ya Konyagi. Lakini TZ kuna kampuni nyingi sana kutoka Kenya.
Na bado kenya ndo inaongoza kwa rate ya unemployment ukanda huu..........mje tu msaidie vijana wetu nyie mmalizane tu wenyewe hamna faidia
 
Uzuri hatuna maroho ya ajabu ajabu nyang'au mnaumizana hata wenyewe kwa wenyewe man eat man society ....mje hata Ikulu ila haibadili kitu huko kwenu bado mnasaga meno....
.hizo za tra wanaozila wanajulikana nyie akina kajamba nani bado mnasugua gaga tu ndo maana mkinyimwa ugali kelele mingi kuliko hata majirani zenu

Kwa mlivyo legelege tutawatafuna sana.....shamba la bibi huko tunapigana vikumbo na Wachina, Wahindi, na Wasouth...sema hao Wasouth wametuzidi kete kwenye kutafuna vitalu vyenu vya madini, hapo tu ndio naona tumechelewa ila tukitongoza taratibu na huko pia tutachukua.
 
Usiseme mna semeni baadhi yenu..........wengine wakina nyie wakushindia avocado na zile fulusuti zenu za mabati kitu pekee mnachoringia labda lugha ya bwana yenu beberu tu kwingine kote wakavuu hamna kitu....nchi yenu tu wenyewe mnaishi kama wapangaji......wapigieni kelele wasiowajua na maisha yenu ya kuungaunga
 
Na tutakaiza mikoa yote hiyo halafu majirani zenu huko ambao hatuna mpaka nao kama vile Rwanda, tumeshafika na kutia kambi, chezea manyang'au utahema bure.
 
Jamaa wapo vizuri. Tulipokuwa tinapambana na ujamaa wao ubepari kwa kwenda mbele, tulipoingiza ubepari wao tayari walishapiga hatua. Kuwafikia labda kama JPM hangetuacha, tungepambana mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom