kadi ya ccm ninayo!
basi nenda pale magogoni kamuone jamaa mmoja anaitwa jk atakusaidia!
Kwa hiyo unataka kupeleka siasa kwenye usalama wa taifa letu?kadi ya ccm ninayo!
Mkuu unaweza kunihabarisha kwanini unaipenda hii kazi?jamani napenda sana kuwa kazi ya usalama wa taifa.lakini sijui nifanyaje?