Don Carlos92
Senior Member
- May 8, 2018
- 158
- 191
Tupeane maujuzi mkuu.mi natamani sana kuuza kozi zangu huko piaMkuu umesema kweli, hii fursa inaniweka mjini Sasa. Ila wa Kenya wapo mbali sana. Pia Tanzania naona internet Ni changamoto hasa Kama unatumia Skype.
Sure Mkuu...Kujiajiri ndio mpango mzima katika dhama hizi.
Mkuu naomba niunganishe na mini kwenye hayo magroup ya ujasiriamali na kama kuna whatsapp group naomba nifahamishe uniungeNaomba niwajibu wote kwa pamoja mnaofikiri kwamba mimi nimeajiriwa ...
Nikiwa mdogo (chini ya miaka 14) nilikuwa na uwezo wa kutengeneza vikapu - entukuru na kupeleka minadani. Haikutosha, nikawa nafuga kuku wa kienyeji, nauza mayai na kuku pia. Shughuli hiyo niliendelea nayo hadi nilipomaliza elimu ya msingi na kulazimika kwenda sekondari - bweni.
Wakati nikiwa sekondari, likizo zangu zote nilirudi kijijini kuendelea na mchakato huo huo. Hivyo kwenye kukua kwangu nilizoea mzingira ya kujitafutia pesa za kwangu binafsi kwa ajili ya matumizi yangu. Wazazi waliwajibika kulipa karo (japo ilikuwa kidogo) pamoja na matumizi mengine ya lazima pindi niwapo shuleni.
Baada ya kumaliza kidato cha nne, nilijiunga moja kwa moja DarTech (kwa sasa inaitwa DIT); nikiwa hapo nilikuwa nachukua bidhaa toka mipakani Tunduma na Mtukura na kuwauzia wamachinga kwa bei ya jumla; wao wanaingiza mtaani na kupata faida. Baadaye nikapata mchongo wa kwamba chuma chakavu kina soko nchini Kenya - mnunuzi mzuri alikuwa anaitwa Mkole (sijui kama bado yupo). Niliporudi nyumani nilinunua mzani kwa ajili ya kupima chuma - hivyo vijana wa pale mtaani walikusanya masufuria mabovu, nyaya n.k na kuleta kupima; nilimwajiri kijana ambaye kazi yake ilikuwa ni kupima na kutunza kumbukumbu. Akifikisha mzigo unaozidi kilo 100 nilisafiri toka Dar kurudi home ili nisafirishe mzigo kupeleka Kenya. Huko nilirudi na bidhaa za urembo ambazo niliendelea kuwauzia wamachinga.
Baada ya kumaliza chuo; sikuwa na wazo la kuajiriwa kwa kuwa tayari nilishakuwa mzoefu wa kutosa hela kwenye biashara na kupata faida. Kwa kuwa nilikuwa huru, nilifanikiwa kupata watu wenye mali ambazo zina spidi ndogo (hazitoki sana) hivyo walinipatia ili niwe na mlango wa biashara hapa Tanzania. NIliendelea na shughuli hizo na baadaye niliona kuwa shughuli za matumizi ya computer zinalipa; hivyo nilijiandikisha kufanya mitihani kwa kuwa ujuzi wa kutumia computer nilikuwa nao tayari (Nilisoma computer DarTech kama somo la ziada ambalo tulikuwa hatufanyi mtihani - miaka ya 90 hiyo).
Hadi sasa ninapoandika hivi; huwa nafanya kazi za muda; nalipwa kilicho changu naendelea na shughuli zangu. Ajira inafunga ufahamu; sio kwamba nawadanganya - hii ndiyo kweli yangu. Kwa sasa ni muelimishaji wa vikundi vya wajasiriamali; nafuga, nafanya kazi na NGO ambayo mimi ni mwanzilishi - MAISHA YANAENDA.
Ukipata ajira fanya ila usikae tu nyumbani eti unasubiri ajira wakati benk una pesa kama laki 500,000/= inaendelea kupungua kila iitwayo leo.
Hizi zinaitwa points za kufikirika1. Unajiajiri kwanza ili upate mtaji ....
2. Mtaji namba moja ni hiyo elimu uliyo nayo; elimu hiyo unaibadili inakuwa maarifa ... maarifa hayo unayatoa kwa wengine .. hapa kuna tatizo kidogo jinsi ya kuyatoa.
Wengi wanahitaji ku-deliver walicho nacho kichwani kwa njia iliyozoeleka .. kufundisha madarasani. Ukiandika vitabu je?
1. Jiajiri kwanza ndo upate mtaji...How come mkuu, binafsi nimejiajiri na kabiashara kangu kadogo lakini sikuweza kuifanya bila mtaji, sasa unaposema jiajiri kwanza ndo upate mtaji inakuaje....??1. Unajiajiri kwanza ili upate mtaji ....
2. Mtaji namba moja ni hiyo elimu uliyo nayo; elimu hiyo unaibadili inakuwa maarifa ... maarifa hayo unayatoa kwa wengine .. hapa kuna tatizo kidogo jinsi ya kuyatoa.
Wengi wanahitaji ku-deliver walicho nacho kichwani kwa njia iliyozoeleka .. kufundisha madarasani. Ukiandika vitabu je?
@Troll JF [emoji122] Umesema vizuri sana kaka mkubwa, nimeanza kwa kujiajili lakini nisingeweza hili bila kuwa na income, sasa mtu anaposema "jiajili kwanza ndo upate mtaji"???Hata Dr. Reginald Mengi alifanya Kazi BOT kabla ya kujiajiri vijana Acheni Majungu, Vijana tumeni maombi ya kazi kama una sifa ipo siku utatoboa!
Kaka Tutor B nakuelewa unachojaribu kuzungumza lakini kwa historia yako tu napata kujua yakuwa wewe ulikuwa unapata support home tangia upo mdogo na ndiyo maana hata ulipofika chuo uliweza kuendelea na biashara....Naomba niwajibu wote kwa pamoja mnaofikiri kwamba mimi nimeajiriwa ...