Kazi zipo ila ajira hakuna

Asante sana mkuu, nimekuelewa vizuri sana.
 
Usiangalie vikwazo kwanza, angalia fursa zilizopo
 
Umenena vyema... tatizo mfumo wetu bado haupo rafiki kwa young entrepreneurs to stand on their own.

Kujiajiri inawezekana, ila kwenye nini? how does the government supports this. Unaweza kua na business idea lakini still unapaswa kulipia kodi zote na kufuata taratibu zote kama mtu aliye tayari successful kwenye business.


Cc: mahondaw
 
motivational speaakers wananifurahishaga sana, wanazungumzaga vitu vinapendeza sana masikioni kuvisikia, lakini ata wao wenyewe wanashindwa kuviapply kama ivyo vitu vingekua vinatekelezeka kirahisi kama wanavyozungumza ata wao wangekua mbali sana kimaendeleo. hawana tofauti na waganga wa kienyeji anakupa dawa ya utajiri wakati maisha anayoishi yanatia huruma.
 
Hahahaha you nailed it!
 
Umesema kweli,maana hawa jamaa, waganga wa kienyeji, na manabii wa kizazi hiki wanashangaza sana
 
Pale unapoona mfumo unazuia ndo penye fursa. Spendi kuliweka wazi Hilo Ila ukweli ndo huo, rasimisha killed kinachozuiliwa.
 
Huo NI mtazamo wako, Ila ukweli utabaki palepale.
 
Naomba mjue kitu kimoja katika ulimwengu huu, wenye pesa huwa hawana akili na wenye akili huwa hawana hela, hiyo ni kanuni ya ulimwengu mzima.
 
Mbona hakuba msamiati wowote mkuu? Jichunguze mwenyewe pia wachunguze wengine walokuzunguka utapata najibu.
Unatumia vigezo gani kusema huyu ana akili na huyu hana akili? Kwanza, naunga mkono mada yako ila nataka tufafanuliane zaidi, watu tunatofautiana sana uelewa,
Kama hutojali unaweza kufafanua zaidi.
 
Mkuu umesema kweli, hii fursa inaniweka mjini Sasa. Ila wa Kenya wapo mbali sana. Pia Tanzania naona internet Ni changamoto hasa Kama unatumia Skype.
Tatizo wasomi nao wanaviburi sana, hawataki kuambiwa ukweli,
Elimu sio tena ufunguo wa maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia vigezo gani kusema huyu ana akili na huyu hana akili? Kwanza, naunga mkono mada yako ila nataka tufafanuliane zaidi, watu tunatofautiana sana uelewa,
Kama hutojali unaweza kufafanua zaidi.
Ulipokuwa shule so Kuna watu mlikuwa mnawasema kuwa Wana akili - let say wale top 10? Na wale wa mwisho 10 so mlisema hawana akili? Mbona liko wazi Hilo? Lakini in real life hao walokuzunguka na akili c/s wasokuwa Nazi inakuwaje?
 
Ulipokuwa shule so Kuna watu mlikuwa mnawasema kuwa Wana akili - let say wale top 10? Na wale wa mwisho 10 so mlisema hawana akili? Mbona liko wazi Hilo? Lakini in real life hao walokuzunguka na akili c/s wasokuwa Nazi inakuwaje?
Ok! Asante nimekuelewa.
Mimi hao huwa siseme "wenye akili" huwa nasema " waliokuwa wanafaulu sana darasani"

Ufaulu wa darasani pekee haupaswi kuwa kipimo cha akili ya mtu. Maana elimu inayopatikana au kutolewa darasani huwa ni sehemu ndogo mno ya maarifa yaliyopo duniani.
 
Mjini umenena vyema, Ila ukifuatilia maana ya am akili utawaita hivyo tu. Kuna kkitu nitaeleza baadae.
 
Mkuu ebu ni pm nitumie kinywaji baridi na kuku wa kuchoma saa hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…