Kazi zipo ila ajira hakuna

Mkuu, wewe ni Mtu smart sana, Comment kama hizi huna haja ya Kuzijibu kabisa, Unsoma unapita tu; Jibu vitu vyenye Hoja nzito, hiyo inatosha, Usitake kumfurahisha Kila mtu; Wenye uhitaji tumekuelewa Mkuu;
Ahsante kwa kunielewa mkuu; inatubidi tubadirike kifikra vinginevyo malalamiko yatakuwa kibao.
 
Fact,
Ila kwa hapa jamii forum Mkuu sidhani Kama sisi vijana wa humu tutakuelewa,
Maana tuna common excuse ya kutokua na mtaji,
Lakini inasikitisha Sana unakuta ni mwaka wa pili sasa tokea msomi ahitimu shahada yake, na ajira hajapata na bado haoni umuhimu wa kuwaza alternative ya kutatua tatizo la ajira,
 
Kuna msingi mmoja wa kubadirisha fikra unasema hivi "Mfundishe mtu kitu fulani mara 16; baada ya hapo kuna mabadiriko yatatokea kwenye fikra zake"
Mabadiriko hayo ni maswali atakayokuwa ajijiuliza, moja ni la kwa nini jambo hili limefundishwa sana lakini mimi haliniingii? Akipata jibu la sali hili tayari ameanza kubadirika kwenye fikra.
 
Siku ya kwanza kuona hii post nilikuona kama ni Mwana siasa hivi mkuu ila this time naona ni kweli baada ya kufanyia kazi kwa upande flani uko sahihi muhimu tu mtu binafsi kuchanganua akili nini afanye na kipi ni sahihi kwa upande wake.
 
Umejibu vizuri, kuongezea, kuyatoa hayo maarifa sasa inawezekana kwa kuwa consultant au freelancer kwenye mtandao kama www.ajiras.com
Mtu uhitaji mtaji wa hela, ni ujuzi wako. Unaregister na kupost kazi unayoweza kumfanyia mtu.
 
Cheki www.ajiras.com angalia unaweza kutoa huduma gani kwa watu, huduma ambayo watalipia.
Kwa kutumia elimu yako hiyo, unaweza fanya hivyo. Kujiunga ni bure na watu wa ajiras wanakufanyia marketing wenyewe.
 
naona unatafuta Ban kwa nguvu
Ban ya nini tena? Kuna tatizo kwenye hiyo post?
Watu mnaongelea kujiajiri, na hiyo site niya freelancing kuhusu kujiajiri tena ya bongo. Una uza na kununua huduma.
Kama kupatana tofauti ni kuwa huuzi vitu, unauza ujuzi wako.
 
Ban ya nini tena? Kuna tatizo kwenye hiyo post?
Watu mnaongelea kujiajiri, na hiyo site niya freelancing kuhusu kujiajiri tena ya bongo. Una uza na kununua huduma.
Kama kupatana tofauti ni kuwa huuzi vitu, unauza ujuzi wako.
sawa , ila unatafuta ugomvi wa lazima na Mods
 
Umesema neno ambalo wengi hawapendi kulisikia japo lina ukweli.
Jamani vijana msione dawa chungu tunataka mpone
 
Siku ya kwanza kuona hii post nilikuona kama ni Mwana siasa hivi mkuu ila this time naona ni kweli baada ya kufanyia kazi kwa upande flani uko sahihi muhimu tu mtu binafsi kuchanganua akili nini afanye na kipi ni sahihi kwa upande wake.
Ahsante kwa kunielewa ...
Sijawahi kuwa mwanasiasa na sitegemei kuwa mwanasiasa. Napenda sana kufuatilia mambo mengi na kujaribu kufanya kwa vitendo.
 
Umejibu vizuri, kuongezea, kuyatoa hayo maarifa sasa inawezekana kwa kuwa consultant au freelancer kwenye mtandao kama www.ajiras.com
Mtu uhitaji mtaji wa hela, ni ujuzi wako. Unaregister na kupost kazi unayoweza kumfanyia mtu.
Ahsante kwa kulitambua hilo mkuu
 
Unaandika hadithi tu
 
Ni kweli, kazi zipo kibao. Nchi hii ina changamoto chungu nzima, nchi hii bado changa haina maendeleo. Inahitajika kufanya kazi kubwa sana kutatua changamoto na kufanya nchi yetu iendelee kama nchi zingine zilizoendelea.

Sema, kikwazo kikubwa kwa sasa ni 'mentality' ya kikoloni kuwa maisha ya msomi ama maisha ya kipato ni kuwa na ajira ya kupata mshahara mwisho wa mwezi.

Siku hii mentality ikifa akilini na moyoni mwa mtu ndipo atakaposhangaa ni namna gani alivyo na uwezo mkubwa wa kujipatia kipato kikubwa nje ya ajira.

Kazi zipo nyingi sana, sema tu sio za lelema unapaswa kujituma si kawaida tofauti na watu waliopo kwenye ajira. Na hapa ndipo penye shida sana watu hawataki kujituma sana, wanataka kujituma kidogo tu kama wafanyavyo wenye ajira.

Mimi nasisitiza tujitume sana maisha yatakuwa mazuri mara kumi zaidi ya walio kwenye ajira. Hii nchi ina kazi nyingi mno ila ajira ni chache sana kama sio hakuna kabisa.

Hata hivyo ieleweke tu wazi kuwa kadri muda unavyosonga mbele ndivyo hali inavyozidi kuwa complicated wala tusitarajie eti mambo yatakuwa ahueni kidogo.

Hali ya maisha ya sasa ina provide kile kitu kinaitwa 'SURVIVAL FOR THE FITTEST'. Hata waliopo kwenye ajira wanalalamika kipato kidogo, hawana future nzuri na walio nje ya ajira wanalalamika maisha magumu. Hii contradiction ndio haswa inatengeneza mazingira 'survival for the fittest, and the weak will perish'. Let's be fit.

Kwa maneno mengine ni kusema kwamba, kwa nyakati hizi the strongest and luckiest people are going to shine above the weak people, yaani hizi ndio nyakati bora kabisa za watu strong and lucky. Prove yourself how strong and lucky you are, or else how weak you are!

Kwa hisani ya Tutor B
 
Hizi story wakati unazitoa gawa na mil.5 kwa kila kijana nadhani itasaidia kutekeleza hilo wazo kwa vitendo. Laiti kama mazingira ya biashara yangekuwa rafiki vijana wengi wangekuwa na msukumo wa kujiajiri. Unakopa mtaji kwa ndugu ufanye kitu unakutana na changamoto lukuki mtaji unakata unaishia kuwa maskini tu. Maana biashara nyingi huwez fanikiwa ukiwa unaianza tu. Na trust me ukitaka ufanye biashara kwa ubunifu wa hali ya juu inataka huge investment in branding kuliko hata bidhaa zenyewe utazozalisha. Wateja ndio msingi wa mafanikio kwenye biashara, branding ni gharama sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…