Kazi Zingine Balaa Tupu!!!

Kazi Zingine Balaa Tupu!!!

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
4,419
Reaction score
1,929
Hapa ni kujionjea kifo tu........Wachina bwana!!!

article-0-126F0B58000005DC-946_964x621.jpg


article-0-126E1FAE000005DC-307_964x648.jpg
 
kuna watu hawaogopi heights jamani,mie ningekuwepo hapo ni full kujinyea nyea lol
 
Wenzetu hawachagui kazi alimladi wasiibe cha mtu, siyo sisi wabongo tunanata wakati hatuna lolote wakati jamaa hapo unakuta ana madigree yake kibao hapo
 
Huyo wa kwanza hata kamba hajajifunga halafu eti kavaa kofia, gives whole new meaning to setting one's priorities right
 
Mshahara wake utakenue meno yote!!!!!
 
mara nyingi kazi dangerous kama hz smtime ndo zinalipa...kuna belts maalum za kukaa kwenye highest points..good 1.
 
hiyo ya kwanza siiamini,lazima amevaa mikanda ikafutwa na photoshop,hakuna kampuni inayofanya project kubwa kama hii iruhusu wafanyakazi wake wafanya kazi ktk mazingira kama ya huyo bwana.soamini.
 
Kweli nlikuwa naona kazi nayo fanya ni ngumu,kumbe ni heri ya hii kuliko hizo.
 
Back
Top Bottom