Kazi ziko wapi?

UKWELIWANGU

Member
Aug 11, 2011
82
5
jamani yeyote mwenye info kuhusu nafasi za kazi aniambie.
hata kama ikiwa ni ya mchongo poa. as long as i will earn my salary.
BUT
IT should follow under my career. i have bachelor degree in accounting. from UDSM
 
UKWELIWANGU

Member
Aug 11, 2011
82
5
MY CONATCTis 0713195667.

for all infomation kuhusu kazi.
nb: nipo lindi so it is better to tell me atleast three before
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
jamani yeyote mwenye info kuhusu nafasi za kazi aniambie.
hata kama ikiwa ni ya mchongo poa. as long as i will earn my salary.
BUT
IT should follow under my career. i have bachelor degree in accounting. from UDSM

Chungulia kwenye jukwaa la Vacancies utakuta makazi mengi, then tuma maombi
 
UKWELIWANGU

Member
Aug 11, 2011
82
5
[Chungulia kwenye jukwaa la Vacancies utakuta makazi mengi, then tuma maombi]

NInatuma sana maombi kaka kutokana na matakangazo yalnayotoka ktk JF lakini hamna mafanikio.
 
Straddler

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
722
188
[Chungulia kwenye jukwaa la Vacancies utakuta makazi mengi, then tuma maombi]

NInatuma sana maombi kaka kutokana na matakangazo yalnayotoka ktk JF lakini hamna mafanikio.

May be you are "over-qualified" .

Makampuni mengi, hasa ya watu binafsi, siku hizi wanatafuta watu wenye elimu uchwara ili wawapunje mshahara.
 
UKWELIWANGU

Member
Aug 11, 2011
82
5
hamna kaka sio over qualified kwan GPA yenyewe ndogo tu {lower second 3.2} ya UDSM. ila ndo hivyo najitahidi kutuma kila kukicha lakini bado sijafanikiwa. hata kuitwa kwenye interview tu sijaitwa. thus why nimeamua kujitolea huku pindi tu nilivyodokezwa.
 
UKWELIWANGU

Member
Aug 11, 2011
82
5
bado sija fanikiwa jamani hivyo msinichoke.
wanajamii tutafutane jamaa tupeane ajira
 
UKWELIWANGU

Member
Aug 11, 2011
82
5
Kazi ni maisha,and so kuitafuta ni kama vita vile?usichoke wala usikate tamaa!there is a day.

Asante mkuu kwa kunipa moyo. i promise you that i will never give up.

I BELIVE THAT BETTER LATE THAN NEVER
WINNER NEVER GIVE UP.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom