Inategemea na matokeo unayoletaMda wote unapokea Hela utanuna,?
Mwalimu wa chekechea kweli? Kibongo bongo sidhaniSalamu.Watu wanaofanya hizi kazi wana Furaha zaidi.
1.Early Child hood Educator.
Hiv unaujua mziki wa kuichomoa pesa mfukoninkwa mtu mkuu akupe wewe. Marketing is no joke. Hiz event za promotionz na advertisement, zoote ni mahusus kwa ajil ya kurahisha au kupunguza changamoto za marketinng2.Market Consultant
hii siijui3.Interior Designer
Siijui4.Esthetisian
NOt really5.Carpenter
depends. General manager wa Bar au Bank?6.General Manager
7.Plumber
it depends.ushahudhuria events za vigodoro wewe 😂8.Event Planner
it depends , otherwise ni kama general manager tu9.Chef Executive
10.Sound Engineer.
Mkuu, wale wanaozibua mabomba ya maji machafu yaliyoziba na pia ma-septic tanks si ndo hawa?7. Plumber
Kula bata ndio kipimo cha kazi nzuri kumbe...🤔Kazi nzuri ni pharmasia..hawa jamaa wanakula bata sana
Ni kazi inayohusisha maisha ya mwanadamuKula bata ndio kipimo cha kazi nzuri kumbe...🤔
Sio kweliNi kazi inayohusisha maisha ya mwanadamu
Vilevile katika kazi za afya hii ndio kazi yenye mazingira mazuri ya kazi