ngoja aje hukoKa Lizzy kumbe ni ka sekretari....ndo maana kanakesha JF
ngoja aje huko
who the hell are you?sijakuruhusu unitaje hapa kwenye thread yako .. siku hizi hakuna off keyboard.. full taim watu wana browsre kwenye ma i pad, black berry na ma iphoneLizzy-secretary, Preta-anahudumia internet cafe, Shosti-Saluni Asprin-anajishughulisha na shughuli ndogo ndogo(baada ya kutimuliwa ofisini) mwanakijiji-anauza mbogamboga(mvua nayo hamna anatafta kazi nyingine) Husninyo-saluni , Ivuga-kinyozi ,M.Roza-mama wa nyumbani ,Saigoni-underground(hiphop) ,Tusker baridi-as if inahitaji ufafanuzi wa kazi yake. haha,just 4 laughs guys take it easy,the list goes on t's free to add...
kweli bana mgao huu 25-8 saluni hakuna wateja,ntakutafuta bana nnatafuta mtu wa kunitaftia wake za watuHusninyo jobless, naomba kazi kwenye ofisi yako mkuu. Kazi yoyote hata ya kukupepea umeme ukikatika.<br />
'thanks in advance'. Kidhungu najua kiduchyuu.
just 4 laughs,kukupiga freestyle battle kwenye entertainment kule,kumbe ulimindwho the hell are you?sijakuruhusu unitaje hapa kwenye thread yako .. siku hizi hakuna off keyboard.. full taim watu wana browsre kwenye ma i pad, black berry na ma iphone
kwani kakija ndo katanifanya nini? hata kaje na kale kenzie ka afrodenzi hawaniwezi
hahahha!! good boy sikukimbia.. and is still not over. hahah .. relaxy nitakuja kule kama papa john paul kuzimu, au kama neyma kwenye footballjust 4 laughs,kukupiga freestyle battle kwenye entertainment kule,kumbe ulimind
kumbe hii kitu chakura ya watu ee, inavaa vikuku pia?FaizaFox mbunge viti maalumu CCM.
kwani kakija ndo katanifanya nini? hata kaje na kale kenzie ka afrodenzi hawaniwezi
Lizzy-secretary, Preta-anahudumia internet cafe, Shosti-Saluni Asprin-anajishughulisha na shughuli ndogo ndogo(baada ya kutimuliwa ofisini) mwanakijiji-anauza mbogamboga(mvua nayo hamna anatafta kazi nyingine) Husninyo-saluni , Ivuga-kinyozi ,M.Roza-mama wa nyumbani ,Saigoni-underground(hiphop) ,Tusker baridi-as if inahitaji ufafanuzi wa kazi yake. haha,just 4 laughs guys take it easy,the list goes on t's free to add...
NN mwalimu ....mwalimu wa mwandiko.....lugha....