Kazi za Wakuu wa Mikoa.

Kazi za Wakuu wa Mikoa.

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
Mhandisi huyu alijitahidi.

10562925_517314621735643_4415080556556293749_n.jpg
 
Mkuu Sikonge ni ya kulaza wageni wa serikali au ya mtu binafsi hapo kufanya biashara
 
Hapo inabidi nikukubalie maana KULAZA wageni si kazi ndogo.

Wanaojitahidi sana huitwa Carpet la Wageni sijui? Ngoja lara 1 aje atupe msaada wa jina halisi.

Mkuu Sikonge ni ya kulaza wageni wa serikali au ya mtu binafsi hapo kufanya biashara
 
Last edited by a moderator:
Sioni faida ya wakuu wa mikoa, ni mzigo tu kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom