Kazi za tanesco Northern zone.

Kazi za tanesco Northern zone.

Gari za kutoka Dar kwenda Tanga zinaposhushia ni town Au stand Iko mbali na mjini
 
Yanawashusha kwenye ofisi zao zipo town kabisa. Na ata ikiwashusha stand inatoa dalaladala ya kuwafikisha town.

Mkuu naomba kufahamu kama majina ya waliofaulu kwenda hatua inayofuata kama yameshatoka ngazi ya assistant accountant
 
Sijajua mkuu maana sipo huko. Ila dogo amepiga oral interview ya procurement jana. Na wameanza toka juzi, hebu fuatilia. Majina wamebandika pale ofisini kwao tanesco ya tanga.
 
Mimi sipo huko pia asee! Nilikua nahitaji tu kuona majina kama lipo, au waliwapigia simu waliopita?
 
Back
Top Bottom