Kazi za tanesco Northern zone.

Kazi za tanesco Northern zone.

Eti wadau nauliza kwa waasibu wasaidizi upande wa digrii usaili unafanyika tarehe ngapi na mda gani msaada tafadhali
 
Sure me nilipokea simu yao leo jionii na nikaambiwa hvyo but nilikuwa kwa daladala ila kuna shule ya msingi kaitaja sikumpata vizurii inaitwajee.
Niliombaga nafasi ya udereva
Kuna Document nime attach hapo mkuu ipitie ina ratiba ya usaili mzima utakapofanyika hadi venue hadi muda,Unayumba boss jaribu kupitia huu uzi.
 
Mkuu iyo document nimepakua nimeiona tayali lakini jana wakati tanesco wamenipigia simu nilisikia akinambia mchana interview tena sa nane kamili ni upande wa waasibh wasaidizi upande wa digrii
Kuna Document nime attach hapo mkuu ipitie ina ratiba ya usaili mzima utakapofanyika hadi venue hadi muda,Unayumba boss jaribu kupitia huu uzi.
 
Kingine wakuu naomba niulize mimi sijawai fika tanga vp kuhusu upande wa maradhi nyumba za kulala wageni bei zao zipoje wakuu msaada tafadhali
 
Malazi mkuu sio maradhi anyway watakujibu.
 
Ndugu mpendwa mteja wetu, Tafadhali tambua kuwa zipo taratibu za kuita waliokidhi vigezo na kuwajulisha wahusika hivyo muda muafaka waliokidhi vigezo watakulisha kwa hatua zifuatazo
Habari yako mkuu...vipi zile nafasi mlizotangaza southern zone bado tu hamjaanza ita watu kwenye interview
 
Kingine wakuu naomba niulize mimi sijawai fika tanga vp kuhusu upande wa maradhi nyumba za kulala wageni bei zao zipoje wakuu msaada tafadhali
Mmeambiwa mnafanya interview sehemu gani ili nikuełekeze lodge ya karibu na rahişi za elfu 15
 
Kingine wakuu naomba niulize mimi sijawai fika tanga vp kuhusu upande wa maradhi nyumba za kulala wageni bei zao zipoje wakuu msaada tafadhali
kuna kila.aina ya sehem za kulala inategemea na bajet yako guest mpka 7000 unapata maeneo mengi tu.
 
Kingine wakuu naomba niulize mimi sijawai fika tanga vp kuhusu upande wa maradhi nyumba za kulala wageni bei zao zipoje wakuu msaada tafadhali
Maladhi tanga kuna lodge nzuri na salama kwa elfu 12 tuu apo center. Na bodaboda nauli haizidi buku jero mpaka eneo la tukio. Usafiri wa dalaladala upo pia japo kwa mgeni tumia bodaboda.
 
Binafsi Sijawah kufika Tanga nimeitwa kwenye usaili mkwakwani secondary kesho kutwa 19.06.2019 naombeni mnielekeze namna ya kufika eneo la tukio natokea Dar es salaam
 
Boss tanga ina chocho nyingi tumia bodaboda na kama utachukua lodge apo kati ni buku tuu mpaka shule apo, kwa baiskel ni mia tano. Kama una mwenyeji kwa mguu mnafika chaap.

Back
Top Bottom