Kazi za tanesco Northern zone.

Kazi za tanesco Northern zone.

Elviejo

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
368
Reaction score
193
Habari wadau. Hivi hakuna update zozote kama tanesco wameita watu kwenye interview zile kazi za miez 12huko Northern zone?.
 
Huko utasubiri sana maana ile kanda ya nyanda za juu kusini na kule magharibi Bado Toka mwezi wa nne.
 
Soon mambo yatakwiva mkuu!! For more details kuna pdf ningeweza share humu sema imegoma kuattach kuhusiana na majina yaliyokuwa shortlisted kwa interview!!!
Habari wadau. Hivi hakuna update zozote kama tanesco wameita watu kwenye interview zile kazi za miez 12huko Northern zone?.
 
Soon mambo yatakwiva mkuu!! For more details kuna pdf ningeweza share humu sema imegoma kuattach kuhusiana na majina yaliyokuwa shortlisted kwa interview!!!
Sawa mkuu nimeona excel ya walikuwa shortlisted na washaanza pigiwa simu. Interview inafanyika tarehe 19 tanga.
 
Habari wadau. Hivi hakuna update zozote kama tanesco wameita watu kwenye interview zile kazi za miez 12huko Northern zone?.
Jana nmepita maeneo ya ofisi za tanesco nmeona makaratas mengi sana yamebandikwa watu wanaangalia
 
Wakuu Kuna aliyefanikiwa kuipata hiyo PDF ya majina ambayo yamekuwa shortlisted Kwa ajili ya Usaili wa Tanesco??
 
Habari wadau. Hivi hakuna update zozote kama tanesco wameita watu kwenye interview zile kazi za miez 12huko Northern zone?.
Ndugu mpendwa mteja wetu, Tafadhali tambua kuwa zipo taratibu za kuita waliokidhi vigezo na kuwajulisha wahusika hivyo muda muafaka waliokidhi vigezo watakulisha kwa hatua zifuatazo
 
Wakuu kuna Mwenye PDF ya madereva ambao wamekuwa shortlisted for interview Tanesco ?
 
Nina ya store wait nayapaki

Na ratiba ya USAILI MZIMA ni hiyo.
 
Attachments

Mbona madereva hakuna wakat Kuna ratiba ya usail wao!
 
Back
Top Bottom