Pierre2017
Member
- Apr 16, 2019
- 48
- 28
asante sana kwa taarifaBado hawajaita. Tutazidi kuwapa taarifa kinachoendelea.
asante sana kwa taarifaBado hawajaita. Tutazidi kuwapa taarifa kinachoendelea.
asante sana kwa taarifa
Naomba kuuliza majina ya watu waliofanya interview ya written kanda ya kaskazini yameshatoka? Kama yametoka mtu ambae haishi Tanga anapataje taarifa kwamba anatakiwa kwenda kwenye oral?Karibu
Majina yamebandikwa ofisi za Mikoa ya Kanda ya Kasikazini, Pia waliokidhi vigezo wamepigiwa simu na kutumiwa ujumbe mfupiNaomba kuuliza majina ya watu waliofanya interview ya written kanda ya kaskazini yameshatoka? Kama yametoka mtu ambae haishi Tanga anapataje taarifa kwamba anatakiwa kwenda kwenye oral?
Simu wamepiga ila ujumbe kwa kweli hawajatuma, tungeomba mtume ujumbe maana mlipopiga simu wengine walikuwa kwenye kelele lakini seemu ya kufanyia ndo ilikuwa ngumu kuielewa.Waliokidhi vigezo wameshapigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa tarehe ya kufanyiwa usahili
Samahani hapo Tanga, usaili unafanyika sehemu gani?Mkuu vipi wale walioomba southern zone mchakato umefikia wapi
Sawa tunashukuru simu tumepigiwa ila ujumbe hatujapata na sehemu ya usaili hatujaishika vizuri. 0714712474 Naomba kujuzwa pls.Tuhuma zako zilizojengwa kwa hisia tumezipokea, Waliokidhi wote wamepigiwa simu na majina yamebandikwa ofisi ya Mikoa ya Kanda husika.waliba wote na kukidhi vigezo wamepigiwa simu na kutumiwa ujumbe na zoezi limefanyika kwa uadilifu mkubwa sana.Unapotoa tuhuma za hisia unatusikitisha sana.Tunaomba jina lako na nafasi uliyoomba tukupatie majibu kamili badala ya kututuhumu
Tumepokea lalamiko lako tutaliwasilisha kwa idara yetu ya rasilimali watuHivi unapofanya usaili kuwa muda mrefu yaani karibu wiki ya pili bado kuna usaili unaendelea maana yake nini.Kanda ya Tanga TANESCO mnawezaje kuwakalisha watu muda mrefu hivyo eti kusubiri "usaili wa mahojiano" hivi mnafahamu kuwa watu wametoka maeneo mbali mbali na hawana pesa za kujikimu.Angalieni namna bora ya kukamilisha michakato ambayo haitaleta walakini LAKINI siyo kwa style ambayo mnaendelea nayo
Ivi izi ajira mnazota za Temporary wa mwaka mmoja mmoja ambazo watu mnawafanyia usaili,je mwisho wa siku uko baadae inakuwaje hapo,yaani mnakuja kuwapa ajira za Permanent uko baadae ama mnawamwaga
kama ni ivyo inaumiza sana moyoniWanamwagwa aisee
Sidhani Kama kuna kuumia hapo maana tangazo lilishasema kuwa hzi kazi ni za muda fulanikama ni ivyo inaumiza sana moyoni
Nilipigiwa simu kualikwa kwenye usaili tar 26 June 2019, nikatoka Dar tar 25 nikafika Tanga, asubuhi naenda kwenye eneo la usaili naambiwa usaili ulifanyika tangu tar 24, tulikuwa watu kadhaa tukaambiwa tumechelewa. Sasa tukawa tunajiuliza kwann tulidanganywa tarehe? Na kama walibadilisha tarehe ya usaili kwann wasipige simu kwa watu wote?Sawa tunashukuru simu tumepigiwa ila ujumbe hatujapata na sehemu ya usaili hatujaishika vizuri. 0714712474 Naomba kujuzwa pls.