KAZI ZA TANAPA Vipi?

De Caprion

Member
Sep 24, 2012
10
0
Wadau kazi za TANAPA vipi?, maana kuna walioitwa kwenye Interview Mwezi wa Nane, sasa kuna post nyingine tena walitangaza, kibao, na sasa zinaonyesha Closed Vaccancies kwenye website yao, Vipi walishaitwa kwenye interview, maana na mimi niliapply kazi pale. duh, Bado au ndo imekula kwangu?

Msubirini Courtesy atakuja na majibu sahihi maana namkubali katika kuchangia post zinazohusiana na interview wewe tulia atakujuza muda si mrefu ngoja awasiliane nao HR wa TANAPA
 
Kaka TANAPA isikie tu, kama huna wa kukushika mkono huna chako....!!![A resource is a resource when it is a resource]
 
ukiona hujaitwa mpaka miezi miwili imepita ujue wazee wamepiga window chini
nchi ishaoza hii mkuu!!napita tu
 
Msubirini Courtesy atakuja na majibu sahihi maana namkubali katika kuchangia post zinazohusiana na interview wewe tulia atakujuza muda si mrefu ngoja awasiliane nao HR wa TANAPA

nimewasiliana nae ananiambia vijana washaanza kazi long time
 
nimewasiliana nae ananiambia vijana washaanza kazi long time

Hahahaha safi sana mkubwa, bwanae am really serious kwa kuwa unafahamika hivo kwa maHR tafadhari niunganishe nao bwana mi nahitaji kazi ya IT my experince is 2 years as IT Technician Support na 2 years as a System Analyst. Please Courtesy msaada wako ni mhimu sana
 
ukiona hujaitwa mpaka miezi miwili imepita ujue wazee wamepiga window chini
nchi ishaoza hii mkuu!!napita tu

Hahaha mie bwana nilistuka sana na hawa watu wa TANAPA nikaona magumashi wewe ulishaona nafasi moja ya IT Analyst tukawa shortlisted 322 na wanataka mtu mmoja, du nikaona kama vile this copy of windows is not genuine nikala kona kabla ya kuipiga chini OS nzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom