Kazi za Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Attorney General) ni zipi?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,002
Mwenye kuelewa kazi za AG anisaisie hapa. Pamoja na ku Google, niongezee kutoka kwenu.
 
Article 59 of our URT Constitution 1977 as amended from time to time inamtambulisha uwepo wake.

Article 59 (3) inasema moja ya majukumu yake ni kuishauri serikali kuhusu mambo ya sheria.

Na article 59 (4) inasema yeye ndie atakuwa responsible kuiwakilisha serikali mahakamani endapo itashtakiwa.
 
In addition asome Sheria inayounda ofisi ya AG. Office of Attorney General Act. Cap. 268 R.E 2020 imeelezea kazi za AG.
 
Back
Top Bottom