Mbona IPO katika standing orders hiyo mkuu! Namna gani ya kumpata mtumishi huyo. Huyo ni mtumishi wa kudumu sio wa kuingia na kutumbua kama kina Polepole ambao Leo ni DC kesho akinuniana na Makonda unamtumbua.Ifike mahali DAS iwe ni kama kazi zngne znavyopatikana, kazi ztangazwe watu waombe wafanyiwe interview ya nguvu ndo wapate kazi hzo, sio kuchaguana.
Umesema kweli mkuu, nimeona jina la dogo Abubakar Asenga!!!! Nimebaki kushangaa DAS ñi taaluma si kazi ya kisiasa naona mvurugano mkubwa unakuja huko mbele ngoja tusubiri tuone kitakachotokeaKuna kazi ambazo huwezi mpa mtu hata kama unampenda sana kama hana taaluma hiyo.
Hatuwezi kumpa Pasco wa JF ukuu wa kitengo cha upasuaji MOI kwa kufurahishwa na michango yake JF. Wala Mbwana Samatta kuwa Katibu Tawala Simiyu kwa vile ni mcheza mpira mahiri.
Nimesikia orodha ya ma DAS imetoka na wengi ni vijana watumikaji kisiasa bila utaalamu.
Kwa wanao fahamu, kazi ya DAS (Katibu Tawala Wilaya) sio ya kisiasa wala ya blabla na watendaji wa kazi hiyo walikuwa wanaandaliwa rasmi toka zamani katika chuo chetu cha Mzumbe.
Ni kazi ya kiutawala inayosimamia sheria na taratibu za utumishi ndani ya wilaya. Huyu ndio mtaalamu wa kumuongoza mtawala wa siasa (DC) asiende harijojo.
Sasa orodha iliyotoka ETI hata watu wenye weledi mdogo kama Mtela Mwampamba wamepewa u DAS sio tuu ni kichekesho bali ni matusi kwa hiyo wilaya aliyopelekwa.
DAS,RAS au Katibu mkuu wa wizara akiwa bogus ni maafa katika sehemu hiyo.
Sio wivu kama watu wenye akili nyepesi watakavyo fikiri bali tujiulize Taifa hili tunalipeleka wapi? Hakika kwa mwendo huu ndani ya miaka 3 tutakuwa watu wa migogoro itayo hitaji msaada wa nje.
mkuu tatizo uteuzi umekiuka Standing Order. binafsi nawalaumu washauri wa mh. walipaswa wote kufukuzwa kazi kama nchi ingekuwa na mifumo huru.Unafahamu CV za walioteuliwa?
Yupi hafai kwa mfano?
inshort kuchanganya civil service na siasa ni kuharibu working machinery of the state. hili jambo halipaswi kuungwa mkono bila kuangalia tofauti zetu.Umesema kweli mkuu, nimeona jina la dogo Abubakar Asenga!!!! Nimebaki kushangaa DAS ñi taaluma si kazi ya kisiasa naona mvurugano mkubwa unakuja huko mbele ngoja tusubiri tuone kitakachotokea
sawa!! taja mmoja ambaya hakustahili kuwa DAS na kwa nn?mkuu tatizo uteuzi umekiuka Standing Order. binafsi nawalaumu washauri wa mh. walipaswa wote kufukuzwa kazi kama nchi ingekuwa na mifumo huru.
Ishu sio yupi hafai ila je ni sawa wateule wa kisiasa kuwachagua/kuwateu nafasi za kiutendaji? Das anateuliwa au ana grow kwa nafasi hiyo?Unafahamu CV za walioteuliwa?
Yupi hafai kwa mfano?
Mlishawahi kuiita OFISI YA DC na RC ni ofisi za kisiasa ...kwa nini DAS unataka kumfanya mtendaaji kihivyo?Ishu sio yupi hafai ila je ni sawa wateule wa kisiasa kuwachagua/kuwateu nafasi za kiutendaji? Das anateuliwa au ana grow kwa nafasi hiyo?
Siasa inapojivika kofia ya vyote inasikitisha sana