Kazi za African Union-Inakuwaje Hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi za African Union-Inakuwaje Hii

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ChaMtuMavi, May 25, 2010.

 1. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Angalia: Program Cordinator P-5
  Vacancies

  Najaribu kufungua link ya kiingereza haifunguki. Imekaaje hiii???

   
 2. HarusiYetu

  HarusiYetu JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2010
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 459
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Good news thanks.
   
 3. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Nimejaribu pia, kwa lugha zingine imekubali kufunguka ila kiingereza imegoma..labda matatizo ya kiufundi!!
   
 4. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nadhani kuna tatizo
   
 5. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  fungua kiunganishi cha lugha tofauti kama kifaransa au kiarabu kisha tafsiri kwa kiingereza then fanya mambo
   
 6. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,673
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  sijakupata hapo...kwamba nitafute mkalimani atafsiri au yaweje?
  na kwa wengine tulipo si city centre na wafaransa/wakalimani hawapo
  huu ni uhuni jaman,ebu unaolewa zaidi manuva mnihabarishe

  najuta kukimbia darasa la kifaransa
   
 7. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani hapo kuna makusudi inafanyika, in amaana wote tuasome kiarabu, faransa na kipotugisi?

  Huo ndo ukiritimba, wakitaka kuengua watu fulani basi wanajifanya kuna tatizo la kiufundi.


   
 8. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hapana kuna tovuti zanazotoa huduma za kutafsiri tena bure kama google.com ingia kwenye language tools utaweza kutafsiri kitu kwenda lugha karibu zote kuu duniani
   
 9. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  By the time umefanikiwa kutafsiri deadline imepita!
   
Loading...