aroon dismon
Member
- Sep 20, 2024
- 28
- 66
Taaluma ni mwalimu wa biology kakaAndika kazi unaweza kufanya ama taaluma kama unayo
safi sanaTaaluma ni mwalimu wa biology kaka
Andika kazi unaweza kufanya ama taaluma kam
Mkuu nlikutafuta hujawahi nijibuNilshamuunganisha na kazi ,sijui imekuaje hakunipa mrejesho
Poa, nikupe kazi ya kuuza unga. (Sio unga wa ugali)Habari za humu ndugu zangu,Mimi ni kijana mwenye miaka 27
mmekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote mradi nijipatie kipato ,japo nmesomea ualimu Nina degree ya kufundisha biology
Hiyo siyo case naombeni kazi yoyote Ile iwe ni site au kokote unakoona unaweza nisaidia maji yamenifika shingoni wakuu,
Nipo iringa kwa sasa naombeni sana Ata mkoa wowote nitakuja mradi tu kazi ipo
Natanguliza shukran zangu 🙏
😁😁Hiyo hapana kaka nashukuruPoa, nikupe kazi ya kuuza unga. (Sio unga wa ugali)
Hiyo hapana kaka iwe haraliFafanua kuna mishangazi hapa Jf inahitqji vijana wa mahesabu ya hela dukani
Wewe unatakiwa ukafanye kazi tu na siyo kingineHiyo hapana kaka iwe harali
Hiyo apana mkuuWewe unatakiwa ukafanye kazi tu na siyo kingine
Mtafute seran ni member humuHabari za humu ndugu zangu,Mimi ni kijana mwenye miaka 27
mmekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote mradi nijipatie kipato ,japo nmesomea ualimu Nina degree ya kufundisha biology
Hiyo siyo case naombeni kazi yoyote Ile iwe ni site au kokote unakoona unaweza nisaidia maji yamenifika shingoni wakuu,
Nipo iringa kwa sasa naombeni sana Ata mkoa wowote nitakuja mradi tu kazi ipo
Natanguliza shukran zangu 🙏
Anazo kazi uhakika mkuu??Mtafute seran ni member humu