Kazi ya wakala

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Mimi ni mtanzania ninayeisha Nchini Zimbabwe nina kampuni iliyosajiliwa nchini humo as Private company,inaitwa (HWANKEL ENTERPRISES(PVT)LTD) located in HWANGE REGION.Hivyo RAI YANGU NI KWAMBA KAMA KUNA MTU AMBAYE YUPO TAYARI KUFANYA KAZI NA KAMPUNI YETU NIKIWA KAMA AGENT WAKE KATIKA KUUZA BIDHAA ZAKE AU KUTUMIA EQUIPMENTS ZAKE NAOMBA KUWASILIANA NAYE ILI TUPEANE DETAILS ABOUT THAT BUSINESS.MAANA CURRENTLY NIPO TANZANIA NAMBA YANGU NI 0713 59 53 82.AHSANTENI KWA KUNIELEWA,NAOMBA KUWASILISHA.
 
Mkuu mbona hujaweka information muhimu kwamba hiyo Kampuni inajihusisha na nini??
 
Hamna cha maana apo,. Huy nae hana kazi anatafuta mademu mtu gani ajaweka kampuni inaitwaje na inashugulika na nini,..
 
Kampuni indeal na kufill Coke into bags na Kusafirisha kwenda D.R.C na S.Africa.lengo letu nikutaka kuwa Mawakala wa mtanzania yeyote ambaye angepanda kuwekeza Huko Kwa Robert na siyo kutafuta mawakala.naomba kueleka hapo.Tunakukaribisha sana.
 
Back
Top Bottom