Nyambafu!
Vitu vingine vinakera sana!!
Yaani mtu umekaa busy kuhoji "mshahara". Tena negatively....!!
Hivi kama umeona uwezi kufit, kwenye kiatu hiko cha mshahara....si upite kimya!! Au ukipita kimya, utapungua uzito..?!!
Na hii yote ni kipimo cha udhaifu wa kufikiria, unaokupelekea unaona kiasi hiko cha mshahara ni kidogo. Unashindwa kabisa kutambua kwamba, hata kutoka tu hapo nje.....itakulazimu kunyanyua mguu na kupiga hatua!!
Ila hilo moja, pili unashau kwamba tunatofautiana kwenye mambo mengi tu. Honest jinsi ulivyo wewe, sio jinsi nilivyo mimi, wala yule.....in short tupo so differ!
Sasa ya nini, tuanze kusemeana....if umeona haikufahi, put it pembeni, yupo mtu itakayomfaha.
Embu jamani imefika time, watanzania wenzangu tubadilike.....hizi tabia za kipuuzi puuzi, ndizo always zinatufanya tupige mark time kwenye hali zile zile, no development at all!!
Embu tuacheni hizi mambo jamani....sio vizuri.