Kazi ya saloon ya kike tabata

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
anahitajika mtu wa salooni ya kike mchapa kazi na anaependa kufanya kazi bila kusimamiwa
awe anajua kusuka yeboyebo aina zote, ku bond, kuset vitunguu, na aina nyingine za last akiwa mjanja wa kosoma wateja wanahitaji nini kwa wakati na maeneo husika itafaa zaidi.... eneo la kazi ni tabata shule {maduka mawili area​
piga 0652101871... karibu​
 
me nna mke wangu yupo mkoani anajua kila kitu ila hivi hamuwezi kuwa shareholder yaani nkuogezee mtaji muwe mna miliki na kuishi wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…