E elinora Member Joined Nov 8, 2013 Posts 61 Reaction score 12 Jan 31, 2014 #1 hivi hawa polisi wa kimataifa (interpol) wanafanya kazi zipi na wapi? mimi sielewi
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,627 Feb 2, 2014 #2 Kukamata wahalifu wa kimataifa. Wale wanaofanya uhalifu nchi moja na kukimbilia nyingne. Wanakukamata na kukukabidhi sehem ulipofanyia uhalifu. Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Kukamata wahalifu wa kimataifa. Wale wanaofanya uhalifu nchi moja na kukimbilia nyingne. Wanakukamata na kukukabidhi sehem ulipofanyia uhalifu. Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Feb 2, 2014 #3 elinora said: hivi hawa polisi wa kimataifa (interpol) wanafanya kazi zipi na wapi? mimi sielewi Click to expand... Kazi yao kuwalinda mamuluki wa kimataifa ie mabeberu wanaotawala huu ulimwengu. Wanaokupangia kiwango cha fedha, bei nk
elinora said: hivi hawa polisi wa kimataifa (interpol) wanafanya kazi zipi na wapi? mimi sielewi Click to expand... Kazi yao kuwalinda mamuluki wa kimataifa ie mabeberu wanaotawala huu ulimwengu. Wanaokupangia kiwango cha fedha, bei nk