Kazi ya mwanamke ni nini ndani ya nyumba?

Kazi ya mwanamke ni nini ndani ya nyumba?

Braitfyucha

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Posts
163
Reaction score
187
Wakuu habari za wakati huu.

Niende kwenywe mada
hivi kazi ya mwanamke ni nini ndani ya nyumba?
maana kuna jamaa mke wake hataki kupika,kuosha vyombo wala kuogesha watoto yani yeye ni kukaa tu
Akijisikia ndo anapika ama kuosha vyombo kama hajisikii ndo basi tena
inabidi wewe mwanaume ujiongeze upike mle
sasa najiuliza haya ni mapenzi ya dhati au ujinga

au jamaa ndo kashikwa masikio??
Afanye nini ili kuondokana na hali hiyo

maoni yako tafadhari"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nicheke ila kama mshikaji wako hana pesa mwambie akazisake akizipata huyu demu atafanya kila kitu tena kwa wakati

CC Zero IQ
 
Hapo lazima mmoja aumie....kuna mmoja hapo alilazimisha ndoa
 
Wakuu habari za wakati huu.

Niende kwenywe mada
hivi kazi ya mwanamke ni nini ndani ya nyumba?
maana kuna jamaa mke wake hataki kupika,kuosha vyombo wala kuogesha watoto yani yeye ni kukaa tu
Akijisikia ndo anapika ama kuosha vyombo kama hajisikii ndo basi tena
inabidi wewe mwanaume ujiongeze upike mle
sasa najiuliza haya ni mapenzi ya dhati au ujinga

au jamaa ndo kashikwa masikio??
Afanye nini ili kuondokana na hali hiyo

maoni yako tafadhari"

Sent using Jamii Forums mobile app
mwambie amgonge vizuri, ale pupuchi haswa , ila ni ww acha kujifanya kuna jama yako
 
Mkuu kukuomba ushauri ndo umekuja nianika huku.....
 
Aendelee tu kupika hana jinsi, maisha ni Ku play role, asubuhi asisahau kumuomba pesa ya matumizi mkewe. Simple
 
Wanaume wa siku hizi nao ni wambea sana!
Ona huyu naye anaacha kufanya mambo yake badala yake anafuatilia maisha ya mwanaume mwenzie!

Eti toa maoni yako...
Uko siriazi kweli?!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si useme tu kuwa ni wewe mkuu[emoji2]

Sent using IPhone X
 
Ndoa nyingi zinaharibika kwasababu wanandoa hawajui haki zao juu ya mwenzake, ikiwa utajua nini haki ya mke juu ya mume na nini haki ya mume juu ya mke katika imani, mila na desturi zenu nadhani ndoa itadumu salama na amani.
 
Mpe pole jamaa . Ameoa slay queen wa dar. Ndio tabia zao.
Ila sio kwamba hawez badilika.. by force by fire akilivalia njuga huyo hadi choo ataosha.
Mwanamke ukimchekea anakuchukulia powaa.
Wakuu habari za wakati huu.

Niende kwenywe mada
hivi kazi ya mwanamke ni nini ndani ya nyumba?
maana kuna jamaa mke wake hataki kupika,kuosha vyombo wala kuogesha watoto yani yeye ni kukaa tu
Akijisikia ndo anapika ama kuosha vyombo kama hajisikii ndo basi tena
inabidi wewe mwanaume ujiongeze upike mle
sasa najiuliza haya ni mapenzi ya dhati au ujinga

au jamaa ndo kashikwa masikio??
Afanye nini ili kuondokana na hali hiyo

maoni yako tafadhari"

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupanga ni kuchagua kila mmoja wetu kuna alichojipangia ambocho mwingine akikisikia kuwa mwenzie kachagua kile atamlaumu na kumuona zoba.
Ila kiukweri mke anakazi yaake maalumu kwa mumewe na sio kupika kufua au kuosha vyombo.
Ila akifanya ihsani kwa kuyafanya hayo yoote huandikiwa sawabu na wala halaumiki pindi asipofanya hayo. Kwani sio kazi yake. Mume kama hanauwezo wa kumfanyia hayo mkewe basi amtafutie mfanyakazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume siku hzi tupoje?

Kuna adhabu na wew usipike.

wakati ukuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom