Tatizo nimeshaoa kitambo
Mechi za Ugenini muhimu mara moja kwa mwaka sio mbaya.
Ukigusa mechi hii ndugu yangu hutoki na mkeo utamtosa. Ndo mjue sasa kwamba mungu wetu alitukusudia kufaidi vinono kwa wanawake. Yani aliandaa tunda la kutisha lakini ndo hivyo tena tumeharibu wenyewe kwa uasi wetu wa kudumu.