jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 480
- 638
- Thread starter
- #41
1, kujiita ni mwana wa pekee wa mungu.Manabii, mitume, n. k. walifanya WOTE walifanya makosa? Tutajie kosa la Yesu!
1, kujiita ni mwana wa pekee wa mungu.Manabii, mitume, n. k. walifanya WOTE walifanya makosa? Tutajie kosa la Yesu!
ahsante kwa kunipa update mkuu...but enzi zetu tulifundishwa hivyo.Siku hizi mkuu, pluto siyo sayari tena.
Hivi wewe unaongelea majasusi ni hatari kuwaruhusu kuingia hapa nchini?kweli?mimi najua unajua lkn hutaki tu kukubali kwamba hao watu wanatujua inn and out,hakuna kitu ambacho watataka kukijua kuhusu sisi halafu wasikijue hata bila ya kuwaruhusu kuja.sidhani kama hulifahamu hili!sasa kama suala la silaha zetu zote za majeshi yote tunaagiza kwao kwa mfano huo tu unaamini una lipi la kuwaficha!?rada unanunua kwao zinazomulika anga lako lote,satelaiti zao zinamulika anga lote sijui lkn labda una hoja.At least wewe mkuu ndo una uwezo na mawazo ya kusaidia kuliko hao wabwekaji wasio na hoja za kujenga.
Lakini tukirudi kwenye suala alilopendekeza mbowe lilikuwa zuri sema Ni Jambo ambalo halihitaji maamuzi ya moja kwa moja bila kutafakari madhara yake kwa upande mwingine hasa kwa usalama wa Taifa. kuruhusu kundi la kijasusi kutoka nje kuingia nchini mwako Ni hatari kubwa Sana(nisiongelee Zaid juu ya ujasusi sababu ya upana wake).
Harafu hatuna haja ya kuwaamni Sana Hawa watu Hadi kuwaruhusu kuingilia Mambo ya Taifa letu, mbona wao tumeshuhudia kwenye nchi zao Matukio Kama aliyofanyiwa mh.lissu yakifanyika na wahusika hawawakamati? Mfano, kupigwa risasi kwa Rais wa marekani Mr Kenedy JF mpaka leo hawajui aliyempiga risasi Rais wao zaidi ya kushukia watu Kisha kuwaacha huru, je Kama yakwao tu yamewashinda Leo yakwetu ndo watayaweza? Hawa watu binafsi siwaamni hata kidogo ukiwapa nafasi hata kidogo watavuruga amani ya nchi yako kwa mda mrefu Sana.
"Only a white man I can trust is a dead one" by R.Mgabe
....kwani wewe ni mmoja ya wakuu wenye hasira Kali!?Mtukufu Muheshimiwa Dokta Rais muweza wa yote na asieshindwa kwa lolote. CCM OYEEE
PUMBAVU!
"UTAOZEO MAHABUSI"nimefurahi sana kwamba nimepatia kuwa wewe ni mpumbavu. angalia ulivyonyosha kiswahili. elimu unayo si haba bali waitumia vibaya. umenifahamu? kidogo natumia lahaja ya pemba. mashairi sawa lakini mimi sio mwanamke wala sitoki pemba. umebugi vibaya sana.
zama hizi ukienda kumwona nduguyo aliyeko ndani, nawe wasukumwa ndani. ukienda kumwekea dhamana unaunganishwa kwenye kesi yake. hata mawakili hawako salama. wanakamatwa na kutiwa misukosuko kwa kutetea watuhumiwa. zama hizi hakuna watuhumiwa. ukikamatwa ndani unaswekwa. ukipelekwa mahakamani ni formality tu. utaozeo mahabusi ya gereza na sio ya polisi. upelelezi hautakamilika. nani anafanya upelelezi? wewe uliishahukumiwa. hivyo rais anaweza akakupa msamaha. onana na dpp ukiri na kulipa!
mwisho mimi ni bungua wala si bingua. hivyo siwezi kamwe binguliwa kama kubingua kupo. bungua habunguliwi, anabungua. silka yako ya upumbavu haija
kuacha salama. twanga mpumbavu na mchi kinuni atoka bado mpumbavu tu. weye bado mpumbavu tu.
Umeandika lugha gani hii mkuu!! Sentensi hiyo imenifanya nisielewe mantiki ya ujumbe wako kwa ujumla, tafadhari unaweza kupunguza uzuzu wako na uiandike upya Tena huo ujumbe Wako? Pia unaporudia kuandika jitahidi kutumia vizuri matumizi ya Punctuations maana Kuna sentensi nashindwa kuzielewa Kama ni sentensi ulizi au sentensi Taarifa. Mfano, "Ushawahi kuhukumiwa".
is this what was supposed to be? Kiufupi sijaelewa Sijui umeandika ukiwa na haraka za kipumbavu kutoka sayari gani tu. Hebu kaa utulie urudie kuandika Tena ili ueleweke.Ni kweli ila sasa ndo hivoahsante kwa kunipa update mkuu...but enzi zetu tulifundishwa hivyo.
Lisu ameomba viongozi wenye majukumu na usalama wa Taifa kumhakikishia usalama wake ili arejee, MBONA KIMYA? au serikali inamuogopa Mbowe?Kwani si hao wote wapo chini ya mwenyekiti wao mbowe Kama serikali imeshindwa kuwabaini hao watu mahakama zipo huru na chama inatakiwa kikafungue kesi zao ili haki ipatikane kuendelea kukaa kimya hivyo juu ya wanachama waliopotea na kupigwa risasi kunanipa wasiwasi pengine tatizo lipo ndani ya chama na Wala siyo Taifa.
Hebu jaribu tu kujiuliza kwa akri ndogo tu, hivi wewe ikitokea ndugu yako wa karibu kapotea au kauliwa utaenda mahakamani wewe ndugu yake wa karbu au mawakili wa serikal ndo wataenda kufungua jarda la kesi ya ndugu yako?
Na je Chadema washapeleka malalamishi mahakamani juu ya hayo matukio?
Na je Chadema wameishitaki jamhuri ya Tanzania juu ya hayo Matukio?
Je Kuna ushahidi wowote wewe au viongozi wako mliopeleka mahakamani?
My note; Ni Jambo jema Sana kupatikana kwa Hawa watu waliopotea na kukamatwa kwa Hawa waliowapiga risasi watanzania wenzao lakini pia tutambue kwamba mawakili wa serikali hawajaajiriwa kusimamia kesi za watu binafsi,vyama au mashirika binafsi Bali wao wapo kwa ajri ya kesi zinazohusiana na Mambo ya serikali ya JMT. Hivyo Basi Mambo ya Ben,lissu,Anzory, nk chama Kama chama ndo inatakiwa kifungue mashitaka juu ya jamhuri kuhoji juu ya hao watu. Tofauti na Hapo usisbri miujiza kutendeka mtabaki kupiga makelele tu humu jamii forum na haitasaidia kitu.
huyu! hoja aitoe wapi? hiyo nondo makonde umemtwisha. hiyo ni kuhangaika nayo tu. hoja haishuki kama mana. hoja inajengwa. mjenzi yu wapi?Hivi wewe unaongelea majasusi ni hatari kuwaruhusu kuingia hapa nchini?kweli?mimi najua unajua lkn hutaki tu kukubali kwamba hao watu wanatujua inn and out,hakuna kitu ambacho watataka kukijua kuhusu sisi halafu wasikijue hata bila ya kuwaruhusu kuja.sidhani kama hulifahamu hili!sasa kama suala la silaha zetu zote za majeshi yote tunaagiza kwao kwa mfano huo tu unaamini una lipi la kuwaficha!?rada unanunua kwao zinazomulika anga lako lote,satelaiti zao zinamulika anga lote sijui lkn labda una hoja.
ni haki yako kutokuelewa. hata hivyo nakupongeza unajitahidi. kidogo unaanza kutumia elimu yako vizuri. kuna neno mahabusu na neno mahabusi. mahabusu anatupwa mahabusi. kuna mahabusi polisi na mahabusi gerezani. mahabusu hajatiwa hatiani na kuhukumiwa. mahabusu akihukumiwa kifungo anakuwa mfungwa. anatoka mahabusi anaingia jela gerezani."UTAOZEO MAHABUSI"Umeandika lugha gani hii mkuu!! Sentensi hiyo imenifanya nisielewe mantiki ya ujumbe wako kwa ujumla, tafadhari unaweza kupunguza uzuzu wako na uiandike upya Tena huo ujumbe Wako? Pia unaporudia kuandika jitahidi kutumia vizuri matumizi ya Punctuations maana Kuna sentensi nashindwa kuzielewa Kama ni sentensi ulizi au sentensi Taarifa. Mfano, "Ushawahi kuhukumiwa".
is this what was supposed to be? Kiufupi sijaelewa Sijui umeandika ukiwa na haraka za kipumbavu kutoka sayari gani tu. Hebu kaa utulie urudie kuandika Tena ili ueleweke.
Huna lolote, yaani we Ni BONGE LA FALAMatumaini yetu ni wazima wa afya wakuu!
Katika Sayari hii ya tano tokea Pluto hakuna kiumbe chochote kisichokosea, sio Wachungaji, Mitume, Manabii, Madokta Wazamivu, Masikini, Matajiri n.k. Je, si ukweli ya kwamba wakuu na hata great thinker nao hukosea? Hakuna aliyekamili tangu hapo mwanzo wa neno, sisi wote ni wakosaji na tutaendelea kukosa ingali kama tunaendelea kuishi.
Ndugu zangu wapendwa wangu, yatupasa kusamehana sisi kwa sisi katika yote yale tunayokoseana, kwa nini unahukumu mapungufu ya jirani yako bila kujitazama mapungufu yako kwanza? Sioni kosa kubwa ambalo kalifanya Magufuli ambalo haliwezekani kusameheka. Je, ni ukweli ya kwamba awamu nne zilizotangulia hazijakosea? Kuna haja gani ya kubeba chuki mioyoni mwetu dhidi yake?Yyatupasa kushirikiana naye na kumuunga mkono katika atendayo kwa maslahi yetu sasa na hata vizazi vijavyo. Je, si ukweli sisi wote ni watoto wa mama mmoja/ Tanzania?.
Tupendane, tupendane, tupendane ndugu zangu, kwa njia hii ya upendo itatufanya tuishi kwa amani na ushirikiano baina yetu na hata aliye Baba aliye juu atatubaliki na kutuzidishia katika tufanyayo.
Tuache kuishi kwa visasi, uongo, roho mbaya, chuki, tamaa, tuepuke ufitinishi, tujizuie kujitukuza na yale yote ambayo sisi wenyewe hupendi kufanyiwa"
#amani ya bwana wetu iwe pamoja nasi
Amen:

hukumbuki kabisa kilichompata Tundu!!!Ewe kinywa Cha mpumbavu wapata wapi ujasiri wa kunena mbele ya kinywa Cha mwerevu? Nanukuu "upumbavu Ni kipaji Kama kipaji Cha urefu na ufupi" (by j.k nyerere) na kwa hiki tu kipaji chako Cha uzuzu na upumbavu wako sikuwezi zaidi ya kunifanya na Mimi nionekane zuzu Kama wewe.ni haki yako kutokuelewa. hata hivyo nakupongeza unajitahidi. kidogo unaanza kutumia elimu yako vizuri. kuna neno mahabusu na neno mahabusi. mahabusu anatupwa mahabusi. kuna mahabusi polisi na mahabusi gerezani. mahabusu hajatiwa hatiani na kuhukumiwa. mahabusu akihukumiwa kifungo anakuwa mfungwa. anatoka mahabusi anaingia jela gerezani.
zama hizi mahabusu anaozea mahabusi ya polisi au mahabusi ya gereza. mahabusu si mtuhumiwa tena! wanamfanya mfungwa bila kuhukumiwa! mashehe wa uamsho wako ndani miaka mitano. upelelezi hautakamilika! waliishahukumiwa lakini sio kisheria! jitahidi kuelewa basi! mbona simple. sina tatizo na punctuations kabisa. tatizo ni uelewa wako wa kipumbavu.

Baki na kipaji chako bhana Cha upumbavu na ongeza juhudi

Mwingine kawa kichaa huko shinyanga mwingine alikufa mbeya na nyaulingo yupo hoi Hospt hana miguu yote “laana ya Tundu lisu imewakamata vilivyonani alipiga masasi Tundu?
ako wapi Ben?
ako wapi Azory?
nani alipiga machette Mawazo?
chuki ndo inaanzia hapo kwa sababu Dr. Magufuli ameshindwa kuamuru vyombo vya ulinzi kuwakamata na kuwafikisha mbele ya mkono wa sheria waliofanya udhalimu huu. na kwa kutochukua hatua Watanzania wanahisi anahusika.
Kwani si hao wote wapo chini ya mwenyekiti wao mbowe Kama serikali imeshindwa kuwabaini hao watu mahakama zipo huru na chama inatakiwa kikafungue kesi zao ili haki ipatikane kuendelea kukaa kimya hivyo juu ya wanachama waliopotea na kupigwa risasi kunanipa wasiwasi pengine tatizo lipo ndani ya chama na Wala siyo Taifa.
Hebu jaribu tu kujiuliza kwa akri ndogo tu, hivi wewe ikitokea ndugu yako wa karibu kapotea au kauliwa utaenda mahakamani wewe ndugu yake wa karbu au mawakili wa serikal ndo wataenda kufungua jarda la kesi ya ndugu yako?
Na je Chadema washapeleka malalamishi mahakamani juu ya hayo matukio?
Na je Chadema wameishitaki jamhuri ya Tanzania juu ya hayo Matukio?
Je Kuna ushahidi wowote wewe au viongozi wako mliopeleka mahakamani?
My note; Ni Jambo jema Sana kupatikana kwa Hawa watu waliopotea na kukamatwa kwa Hawa waliowapiga risasi watanzania wenzao lakini pia tutambue kwamba mawakili wa serikali hawajaajiriwa kusimamia kesi za watu binafsi,vyama au mashirika binafsi Bali wao wapo kwa ajri ya kesi zinazohusiana na Mambo ya serikali ya JMT. Hivyo Basi Mambo ya Ben,lissu,Anzory, nk chama Kama chama ndo inatakiwa kifungue mashitaka juu ya jamhuri kuhoji juu ya hao watu. Tofauti na Hapo usisbri miujiza kutendeka mtabaki kupiga makelele tu humu jamii forum na haitasaidia kitu.
punguza munkari mkuu...in hekima zaidi inapaswa kutumika katika haya ndugu!Mbuzi wewe kabisa!
Unafungua kesi mchunguzi ambae ni seeikali hataki kuchunguza,mahakamani ushahidi gani utapelekwa?
Kesi si inafutwa siku hiyo hiyo?
Mpuuzi wewe!
Jinga kabisa!
Eti fungua kesi,mpuuzi wewe!
Mpaka mnafanya tunatukana!
punguza munkari mkuu...in hekima zaidi inapaswa kutumika katika haya ndugu!
kosa lisilosameheka la huyo jamaa yako ni kosa la kutosamehe na kuwa na visasi vibaya!Matumaini yetu ni wazima wa afya wakuu!
Katika Sayari hii ya tano tokea Pluto hakuna kiumbe chochote kisichokosea, sio Wachungaji, Mitume, Manabii, Madokta Wazamivu, Masikini, Matajiri n.k. Je, si ukweli ya kwamba wakuu na hata great thinker nao hukosea? Hakuna aliyekamili tangu hapo mwanzo wa neno, sisi wote ni wakosaji na tutaendelea kukosa ingali kama tunaendelea kuishi.
Ndugu zangu wapendwa wangu, yatupasa kusamehana sisi kwa sisi katika yote yale tunayokoseana, kwa nini unahukumu mapungufu ya jirani yako bila kujitazama mapungufu yako kwanza? Sioni kosa kubwa ambalo kalifanya Magufuli ambalo haliwezekani kusameheka. Je, ni ukweli ya kwamba awamu nne zilizotangulia hazijakosea? Kuna haja gani ya kubeba chuki mioyoni mwetu dhidi yake?Yyatupasa kushirikiana naye na kumuunga mkono katika atendayo kwa maslahi yetu sasa na hata vizazi vijavyo. Je, si ukweli sisi wote ni watoto wa mama mmoja/ Tanzania?.
Tupendane, tupendane, tupendane ndugu zangu, kwa njia hii ya upendo itatufanya tuishi kwa amani na ushirikiano baina yetu na hata aliye Baba aliye juu atatubaliki na kutuzidishia katika tufanyayo.
Tuache kuishi kwa visasi, uongo, roho mbaya, chuki, tamaa, tuepuke ufitinishi, tujizuie kujitukuza na yale yote ambayo sisi wenyewe hupendi kufanyiwa"
#amani ya bwana wetu iwe pamoja nasi
Amen:
Wanasayansi ya anga wanasema haina orbit inachangia orbit na syari ya naneahsante kwa kunipa update mkuu...but enzi zetu tulifundishwa hivyo.
'... .. .kile mnachokiona na kusikia sio jinsi kilivyo, keep watching "Kweli anazidi kuungwa mkonoView attachment 1243124