Kazi ya Magufuli haina makosa

Kazi ya Magufuli haina makosa

Kwani si hao wote wapo chini ya mwenyekiti wao mbowe Kama serikali imeshindwa kuwabaini hao watu mahakama zipo huru na chama inatakiwa kikafungue kesi zao ili haki ipatikane kuendelea kukaa kimya hivyo juu ya wanachama waliopotea na kupigwa risasi kunanipa wasiwasi pengine tatizo lipo ndani ya chama na Wala siyo Taifa.
Hebu jaribu tu kujiuliza kwa akri ndogo tu, hivi wewe ikitokea ndugu yako wa karibu kapotea au kauliwa utaenda mahakamani wewe ndugu yake wa karbu au mawakili wa serikal ndo wataenda kufungua jarda la kesi ya ndugu yako?
Na je Chadema washapeleka malalamishi mahakamani juu ya hayo matukio?
Na je Chadema wameishitaki jamhuri ya Tanzania juu ya hayo Matukio?
Je Kuna ushahidi wowote wewe au viongozi wako mliopeleka mahakamani?

My note; Ni Jambo jema Sana kupatikana kwa Hawa watu waliopotea na kukamatwa kwa Hawa waliowapiga risasi watanzania wenzao lakini pia tutambue kwamba mawakili wa serikali hawajaajiriwa kusimamia kesi za watu binafsi,vyama au mashirika binafsi Bali wao wapo kwa ajri ya kesi zinazohusiana na Mambo ya serikali ya JMT. Hivyo Basi Mambo ya Ben,lissu,Anzory, nk chama Kama chama ndo inatakiwa kifungue mashitaka juu ya jamhuri kuhoji juu ya hao watu. Tofauti na Hapo usisbri miujiza kutendeka mtabaki kupiga makelele tu humu jamii forum na haitasaidia kitu.
Hiyo Note yako inaonesha kilichomo kichwani hakina uwezo wa kuendesha mwili.
 
Hivi kama hujui Sheria si bora kukaa kimya?
 
Kweli anazidi kuungwa mkono
tapatalk_1571921669725.jpeg
 
Yaani nikiitizama hiyo picha ya kwenye uzi wako navuta taswira jinsi alivyokua akikunjwa na kukunjuliwa rinda.
 
Matumaini yetu ni wazima wa afya wakuu!

Katika Sayari hii ya tano tokea Pluto hakuna kiumbe chochote kisichokosea, sio Wachungaji, Mitume, Manabii, Madokta Wazamivu, Masikini, Matajiri n.k. Je, si ukweli ya kwamba wakuu na hata great thinker nao hukosea? Hakuna aliyekamili tangu hapo mwanzo wa neno, sisi wote ni wakosaji na tutaendelea kukosa ingali kama tunaendelea kuishi.

Ndugu zangu wapendwa wangu, yatupasa kusamehana sisi kwa sisi katika yote yale tunayokoseana, kwa nini unahukumu mapungufu ya jirani yako bila kujitazama mapungufu yako kwanza? Sioni kosa kubwa ambalo kalifanya Magufuli ambalo haliwezekani kusameheka. Je, ni ukweli ya kwamba awamu nne zilizotangulia hazijakosea? Kuna haja gani ya kubeba chuki mioyoni mwetu dhidi yake?Yyatupasa kushirikiana naye na kumuunga mkono katika atendayo kwa maslahi yetu sasa na hata vizazi vijavyo. Je, si ukweli sisi wote ni watoto wa mama mmoja/ Tanzania?.

Tupendane, tupendane, tupendane ndugu zangu, kwa njia hii ya upendo itatufanya tuishi kwa amani na ushirikiano baina yetu na hata aliye Baba aliye juu atatubaliki na kutuzidishia katika tufanyayo.

Tuache kuishi kwa visasi, uongo, roho mbaya, chuki, tamaa, tuepuke ufitinishi, tujizuie kujitukuza na yale yote ambayo sisi wenyewe hupendi kufanyiwa"

#amani ya bwana wetu iwe pamoja nasi

Amen:
Makosa mengi husameheka. Lakini kumwua mtu au kutaka kumwua mtu kwa sababu labda katofautiana mawazo nawe au hata kama amekutukana ni ushetani ambao hukumu ikufaayo wewe ni jehanamu pekee.

Uhai wako na wa binadamu mwenzako, katika ulimwengu huu ni kitu cha thamani kuliko chochote. Na ukweli huu ni kwetu sote wala siyo kwa watawala pekee. Mtu wa CCM atambue uhai wa mtu mwingine yeyote hata kama ni mpinzani wake una thamani sawa kawa wa kwake. Kwa mtu wa CHADEMA ni lazima atambue kuwa uhai wa mwanaCCM na mwingine yeyote una thamani sawa kama wa kwake. Na kwa watu wa vyombo vya ulinzi na usalama, nao wafahamu uhai wa raia una thamani sawa na uhai wao na wawapendwa wao. Na kwa Rais na watawala wenzake ni lazima watambue kuwa uhai wa raia wote bila ya kujali ni wa chama gani, una thamani sawa kama uhai wao na wanafamilia wao. Urais, UIGP, Ukachero, uwaziri au uRC au uDC, utajiri au umaakini hauongezi wala kupunguza thamani wa uhai wa mwanadamu.
 
Matumaini yetu ni wazima wa afya wakuu!

Katika Sayari hii ya tano tokea Pluto hakuna kiumbe chochote kisichokosea, sio Wachungaji, Mitume, Manabii, Madokta Wazamivu, Masikini, Matajiri n.k. Je, si ukweli ya kwamba wakuu na hata great thinker nao hukosea? Hakuna aliyekamili tangu hapo mwanzo wa neno, sisi wote ni wakosaji na tutaendelea kukosa ingali kama tunaendelea kuishi.

Ndugu zangu wapendwa wangu, yatupasa kusamehana sisi kwa sisi katika yote yale tunayokoseana, kwa nini unahukumu mapungufu ya jirani yako bila kujitazama mapungufu yako kwanza? Sioni kosa kubwa ambalo kalifanya Magufuli ambalo haliwezekani kusameheka. Je, ni ukweli ya kwamba awamu nne zilizotangulia hazijakosea? Kuna haja gani ya kubeba chuki mioyoni mwetu dhidi yake?Yyatupasa kushirikiana naye na kumuunga mkono katika atendayo kwa maslahi yetu sasa na hata vizazi vijavyo. Je, si ukweli sisi wote ni watoto wa mama mmoja/ Tanzania?.

Tupendane, tupendane, tupendane ndugu zangu, kwa njia hii ya upendo itatufanya tuishi kwa amani na ushirikiano baina yetu na hata aliye Baba aliye juu atatubaliki na kutuzidishia katika tufanyayo.

Tuache kuishi kwa visasi, uongo, roho mbaya, chuki, tamaa, tuepuke ufitinishi, tujizuie kujitukuza na yale yote ambayo sisi wenyewe hupendi kufanyiwa"

#amani ya bwana wetu iwe pamoja nasi

Amen:
Manabii, mitume, n. k. walifanya WOTE walifanya makosa? Tutajie kosa la Yesu!
 
Fanya yote makosa yote yanafutika lkn si DOA la damu hilo unalo hadi utakapoondoka duniani.Uhai wa MTU huwezi urudisha
 
Hivi kama hujui Sheria si bora kukaa kimya?
Wewe unayeijua sheria umechukua hatua gani mpaka Sasa hivi? au ndo bado unagombania kipande Cha mhogo na wadogo zako na kisubri anaekulisha kwenda kukuchumia matembele ili upate kula.
Kaa kimya haya mambo tuachie Sisi watu wazima huna hoja za kujadili haya mambo kwa akri yako hiyo.
 
Yaani nikiitizama hiyo picha ya kwenye uzi wako navuta taswira jinsi alivyokua akikunjwa na kukunjuliwa rinda.
Ndani ya ccm mbona wako wengi hao! Tena wengine viongozi, wasituvuruge tukaanza kuwataja na kuwaharibia biashara yao.
 
Ujinga , kwani hakuna mahakama? Kwani hakuna police. Si uende kufungua jarada ?
Basi na sisi tutamuhukumu kwa mahakama zetu za chuki,kwa sababu na yeye hatupendi wapinzani!!!
 
Matumaini yetu ni wazima wa afya wakuu!

Katika Sayari hii ya tano tokea Pluto hakuna kiumbe chochote kisichokosea, sio Wachungaji, Mitume, Manabii, Madokta Wazamivu, Masikini, Matajiri n.k. Je, si ukweli ya kwamba wakuu na hata great thinker nao hukosea? Hakuna aliyekamili tangu hapo mwanzo wa neno, sisi wote ni wakosaji na tutaendelea kukosa ingali kama tunaendelea kuishi.

Ndugu zangu wapendwa wangu, yatupasa kusamehana sisi kwa sisi katika yote yale tunayokoseana, kwa nini unahukumu mapungufu ya jirani yako bila kujitazama mapungufu yako kwanza? Sioni kosa kubwa ambalo kalifanya Magufuli ambalo haliwezekani kusameheka. Je, ni ukweli ya kwamba awamu nne zilizotangulia hazijakosea? Kuna haja gani ya kubeba chuki mioyoni mwetu dhidi yake?Yyatupasa kushirikiana naye na kumuunga mkono katika atendayo kwa maslahi yetu sasa na hata vizazi vijavyo. Je, si ukweli sisi wote ni watoto wa mama mmoja/ Tanzania?.

Tupendane, tupendane, tupendane ndugu zangu, kwa njia hii ya upendo itatufanya tuishi kwa amani na ushirikiano baina yetu na hata aliye Baba aliye juu atatubaliki na kutuzidishia katika tufanyayo.

Tuache kuishi kwa visasi, uongo, roho mbaya, chuki, tamaa, tuepuke ufitinishi, tujizuie kujitukuza na yale yote ambayo sisi wenyewe hupendi kufanyiwa"

#amani ya bwana wetu iwe pamoja nasi

Amen:
Siku hizi mkuu, pluto siyo sayari tena.
 
komamgo kapata sapoti ya mpumbavu mwenzie mr. tyang: wakisapoti upumbavu wa ....balogi, mleta mada. chekechea tu anajua kwa kiasi anachochukiwa mbowe na serikali hii,angekuwa kafanya yeye hayo;scotland yard ingetinga kesho yake. tungekuwa tunaongelea marehemu saa hizi! upumbavu wa wapumbavu ni kutumia elimu kipumbavu. kuna taratibu za kufungua jalada mahakamani. ziko wazi zinafahamika. huyu tyang kati ya wanyama ni nguchiro. mbwa pamoja na uroho wa nyama hamtafuni. useless nguchiro=useless tyang. si bure nafkr=nafikiri, kukalilishwa=kukaririshwa na akri=akili anajua kazi ya wakili wa serikali ni kesi zinazohusu jmt basi! hapo kweli kabisa akri. anaona wenzake ndio wenye safari ndefu sana. ogopa sana kiumbe kama tyang: hajui hajui hajui. hajui na hajui kuwa hajui!

i
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naomba nianze kwa kukucheka kwanza maana nimependa namna unavyoweza kutunga taarabu kwa ufasaha na bila shaka wewe utakuwa Ni mwanamke kutoka pemba. Ok tukiachana na hayo maana nyie wanawake kwa maneno tu hatuwawezi.. wewe kwa kutumia maarifa yako uliyonayo ushachukua hatua gani mpaka Sasa? Ok achana na kuchukua hatua,umeshatoa ushauri wowote kwa viongozi au watu ambao wanaweza kusaidia kupatikana kwa haki unayoitaka? Au ndo uko busy na kutunga mashairi ya taarabu ili mwanaume wako akirudi kutoka kazini umuimbie!
Kweli wewe Ni bingua wa kubinguliwa nyuma na mbele[emoji45] ndo maana dishi limeshayumba kuanzia huko unako binguliwa Hadi kichwani kwako.
 
Kwani si hao wote wapo chini ya mwenyekiti wao mbowe Kama serikali imeshindwa kuwabaini hao watu mahakama zipo huru na chama inatakiwa kikafungue kesi zao ili haki ipatikane kuendelea kukaa kimya hivyo juu ya wanachama waliopotea na kupigwa risasi kunanipa wasiwasi pengine tatizo lipo ndani ya chama na Wala siyo Taifa.
Hebu jaribu tu kujiuliza kwa akri ndogo tu, hivi wewe ikitokea ndugu yako wa karibu kapotea au kauliwa utaenda mahakamani wewe ndugu yake wa karbu au mawakili wa serikal ndo wataenda kufungua jarda la kesi ya ndugu yako?
Na je Chadema washapeleka malalamishi mahakamani juu ya hayo matukio?
Na je Chadema wameishitaki jamhuri ya Tanzania juu ya hayo Matukio?
Je Kuna ushahidi wowote wewe au viongozi wako mliopeleka mahakamani?

My note; Ni Jambo jema Sana kupatikana kwa Hawa watu waliopotea na kukamatwa kwa Hawa waliowapiga risasi watanzania wenzao lakini pia tutambue kwamba mawakili wa serikali hawajaajiriwa kusimamia kesi za watu binafsi,vyama au mashirika binafsi Bali wao wapo kwa ajri ya kesi zinazohusiana na Mambo ya serikali ya JMT. Hivyo Basi Mambo ya Ben,lissu,Anzory, nk chama Kama chama ndo inatakiwa kifungue mashitaka juu ya jamhuri kuhoji juu ya hao watu. Tofauti na Hapo usisbri miujiza kutendeka mtabaki kupiga makelele tu humu jamii forum na haitasaidia kitu.
Umeongea vizuri lkn jee umesahau pale kina mbowe alipo ishauri serekali ikubali walete wachunguzi kutoka njee ya nchi sasa kwanini serekali imekataa
 
At least wewe mkuu ndo una uwezo na mawazo ya kusaidia kuliko hao wabwekaji wasio na hoja za kujenga.
Lakini tukirudi kwenye suala alilopendekeza mbowe lilikuwa zuri sema Ni Jambo ambalo halihitaji maamuzi ya moja kwa moja bila kutafakari madhara yake kwa upande mwingine hasa kwa usalama wa Taifa. kuruhusu kundi la kijasusi kutoka nje kuingia nchini mwako Ni hatari kubwa Sana(nisiongelee Zaid juu ya ujasusi sababu ya upana wake).
Harafu hatuna haja ya kuwaamni Sana Hawa watu Hadi kuwaruhusu kuingilia Mambo ya Taifa letu, mbona wao tumeshuhudia kwenye nchi zao Matukio Kama aliyofanyiwa mh.lissu yakifanyika na wahusika hawawakamati? Mfano, kupigwa risasi kwa Rais wa marekani Mr Kenedy JF mpaka leo hawajui aliyempiga risasi Rais wao zaidi ya kushukia watu Kisha kuwaacha huru, je Kama yakwao tu yamewashinda Leo yakwetu ndo watayaweza? Hawa watu binafsi siwaamni hata kidogo ukiwapa nafasi hata kidogo watavuruga amani ya nchi yako kwa mda mrefu Sana.
"Only a white man I can trust is a dead one" by R.Mgabe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naomba nianze kwa kukucheka kwanza maana nimependa namna unavyoweza kutunga taarabu kwa ufasaha na bila shaka wewe utakuwa Ni mwanamke kutoka pemba. Ok tukiachana na hayo maana nyie wanawake kwa maneno tu hatuwawezi.. wewe kwa kutumia maarifa yako uliyonayo ushachukua hatua gani mpaka Sasa? Ok achana na kuchukua hatua,umeshatoa ushauri wowote kwa viongozi au watu ambao wanaweza kusaidia kupatikana kwa haki unayoitaka? Au ndo uko busy na kutunga mashairi ya taarabu ili mwanaume wako akirudi kutoka kazini umuimbie!
Kweli wewe Ni bingua wa kubinguliwa nyuma na mbele[emoji45] ndo maana dishi limeshayumba kuanzia huko unako binguliwa Hadi kichwani kwako.
nimefurahi sana kwamba nimepatia kuwa wewe ni mpumbavu. angalia ulivyonyosha kiswahili. elimu unayo si haba bali waitumia vibaya. umenifahamu? kidogo natumia lahaja ya pemba. mashairi sawa lakini mimi sio mwanamke wala sitoki pemba. umebugi vibaya sana.
zama hizi ukienda kumwona nduguyo aliyeko ndani, nawe wasukumwa ndani. ukienda kumwekea dhamana unaunganishwa kwenye kesi yake. hata mawakili hawako salama. wanakamatwa na kutiwa misukosuko kwa kutetea watuhumiwa. zama hizi hakuna watuhumiwa. ukikamatwa ndani unaswekwa. ukipelekwa mahakamani ni formality tu. utaozeo mahabusi ya gereza na sio ya polisi. upelelezi hautakamilika. nani anafanya upelelezi? wewe uliishahukumiwa. hivyo rais anaweza akakupa msamaha. onana na dpp ukiri na kulipa!
mwisho mimi ni bungua wala si bingua. hivyo siwezi kamwe binguliwa kama kubingua kupo. bungua habunguliwi, anabungua. silka yako ya upumbavu haija
kuacha salama. twanga mpumbavu na mchi kinuni atoka bado mpumbavu tu. weye bado mpumbavu tu.
 
Back
Top Bottom